Waziri Bashe aonya Halmashauri kutoziweka tozo kandamizi kwa wakulima wa Parachichi

Waziri Bashe aonya Halmashauri kutoziweka tozo kandamizi kwa wakulima wa Parachichi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB),akizisisitiza Halmashauri kuhakikisha kuwa tozo zinazowekwa kwenya zao la Parachichi haziwakandamizi wakulima.

Bashe ameeleza hayo katika Mkutano Mkuu wa Parachichi uliofanyika hivi karibuni wa wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo wakiwemo wakulima, viongozi wa Halmashauri, na wawakilishi wa vyama vya ushirika, ambapo walipata fursa ya kujadili changamoto na fursa zilizopo katika kilimo cha Parachichi nchini.

 
Why parachichi pekee na si mazao yote?
 
Back
Top Bottom