robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Alichoandika kwenye thrd nimekisikia miaka mingi sana enzi za akina Lowasa. Yaani wakati ule injinia wa maji wa mkoa anapelekewa pesa baadaye wizara inaomba kiasi fulani kirudishwe kwa watendaji wizarani. Isipofanyika unaweza kupokonywa ofisi.Mwaka ujao wa fedha tutaanza kutumia mfumo wa MUSE nadhani itadhibiti mambo haya.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwaka ujao wa fedha mkuu wa kitengo atakaa na mtu wa resource wataandaa plan of action kwa mwaka mzima wa fedha na bajeti yao..so kazi isipofanyika na hela ikarudi hazina lazima uulizwe kwanini hujaitumia so ni mfumo mzuri hata ruwasa wameutimia na wamefanikiwa..kikubwa ofisi za mabonde zijipange TU isije kuwa mwaka wa kwanza wakakosea ikaleta changamoto.maana kwa mfumo huu ukikosea mpango kazi wako itakubidi usubiri miezi sita ndo upeleke madokezo tenaAlichoandika kwenye thrd nimekisikia miaka mingi sana enzi za akina Lowasa. Yaani wakati ule injinia wa maji wa mkoa anapelekewa pesa baadaye wizara inaomba kiasi fulani kirudishwe kwa watendaji wizarani. Isipofanyika unaweza kupokonywa ofisi.
Naangalia pesa ya kuhifadhi mazingira ya mto, kama unapeleka milioni hata 200 huwezi kuzimaliza kwa wiki moja hata mwezi mmoja maana hakuna malipo ya mshahara hapo. Ina maana Katibu mkuu na waiziri na wakurugenzi wanajiwekea kiasi cha kupiga kwa makusudi.
Kweli! Yaonekana waziri anapendwa kwa sifa zingine, siyo utendaji wake. Niliwahi kukaa bar moja nikipata kinywaji, Kama kawaida ya pombe, watu wa wizara walianza kuropoka juu ya tabia ya Aweso. Nasikia ni mpigaji ni hakuna. Kila anakokwenda ni kelele tu lakini mara nyingi huwa ameshiriki kupiga pesa. Nimeangalia pia video clip ya hapa JF iliyomuonesha Aweso akipiga kelele na mkandarasi. Mara moja alipotaja viongozi kuhusika na rushwa, waziri alipotezea na kuanza kuwa mpole. Nadhani alikumbuka kwamba ni muhusika.Sema Waziri anasifika sana saivi
Sijui km watasikiliza
Mnataka asubiri kikokotoo?Kweli! Yaonekana waziri anapendwa kwa sifa zingine, siyo utendaji wake. Niliwahi kukaa bar moja nikipata kinywaji, Kama kawaida ya pombe, watu wa wizara walianza kuropoka juu ya tabia ya Aweso. Nasikia ni mpigaji ni hakuna. Kila anakokwenda ni kelele tu lakini mara nyingi huwa ameshiriki kupiga pesa. Nimeangalia pia video clip ya hapa JF iliyomuonesha Aweso akipiga kelele na mkandarasi. Mara moja alipotaja viongozi kuhusika na rushwa, waziri alipotezea na kuanza kuwa mpole. Nadhani alikumbuka kwamba ni muhusika.
Taarifa nilizowahi kupata ni kwamba Maafisa bonde wanaopelekwa kwenye miradi ni wale wanaorudisha pesa kwa waziri na katibu mkuu wake. Pale Morogoro kuna dada ilisemekana ni mlokole akaondolewa na kupelekwa bonge la msanii. Kumbe kulikuwa na mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi za bonde. Hakika pesa imepigwa! Baada ya mradi, msanii kaondolewa, nasikia yuko wizarani. Sasa hapo Iringa yaonekana ni sehemu mpya ya upigaji. Fuatilia uone afisa bonde ni nani na tabia yake.
Boss umechanganyikiwa? Yaani waziri na katibu mkuu wake wapige pesa, halafu miradi iendelee?Mnataka asubiri kikokotoo?
Hata kama ingekuwa wewe
Kikubwa miradi inaenda
Makuhani wanakula hekaluni jmn ndivyo ilivyo
Ibada zinaendelea
Basi subirini mteuliwe nyieBoss umechanganyikiwa? Yaani waziri na katibu mkuu wake wapige pesa, halafu miradi iendelee?
Anasifika yawezekana kwa sababu mgao wa hizo pesa ni mpana.Sema Waziri anasifika sana saivi
Sijui km watasikiliza