Waziri ahoji busara za maRC, maDC

Waziri ahoji busara za maRC, maDC

Fikiria DC ana elimu ya kibashite halafu anamweka ndani mtaalamu wa upasuaji wa moyo eti kuwa hajui kazi.
Mtukufu aliwapa kiburi cha hovyo sana
Halafu DC huyo bahati mbaya akitumbuliwa na kupata mshtuko wa moyo anapelekwa hospitali kutafuta daktari wa moyo wakati daktari kamsweka selo kwa kusa ambalo angeweza kulihandle kwa namna nyingine inayofaa zaidi.
 
Back
Top Bottom