Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ameipongeza Bodi ya wadhamini na menejimenti ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jami (NSSF) huku akiitaka kuongeza nguvu katika kuandikisha wanachama kwa sababu sekta binafsi ina wanachama wengi wanaotakiwa wajiunge katika shirika hilo.
Source: https://www.mwananchi.co.tz/habari/...u-kuongeza-/1597296-5142318-303rpi/index.html
Wananchama wa Sekta binafsi - Hawana FAO LA KUJITOA
Hilo Fao la Kukosa Ajira ni Sheria za kikoloni - ukiresign au ukiacha kazi mwenyewe hupati haki
Nani asiejua manyanyaso ya Sekta binafsi? Viwanda vya Wahindi na makapuni yao?
Nani asiyejua magonjwa kutokana na machemically
Je - Lile TAMKO la Raisi kufuta Sheria mpya za mafao mpaka 2023? linahusu?
NSSF wamezidi kushikilia Hakuna Malipo ya mkupuo