Wazingua

Totoz

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
wana jamvin kuna watu humu wana sumbua akili za watanzania tena wanaotafuta ajira anaandika nafasi ya kazi kisha anakwambia ni PM uki mu PM anakwambia nitumie namba yako au nitumie E mail... Nimekutana na watu hao humu ndani nimewatumia lakini mpaka leo hawajanijibu kitu na bado wanaandika matangazo yao na kusema u PM hawa sio wakweli.
 

Wakianza hizo longo longo temana nao. tupia kule endelea na maisha.
Nafasi za kazi ziko na zitaendelea kutolewa
 
kabisaa nimekuta mtu ana lala mika ame PM huyo jamaa na hajajibiwa
 
muanike hapa ili na ss wengne tukiona tangazo lake tue makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…