UdakuziMtandaoni Member Joined Oct 9, 2012 Posts 39 Reaction score 23 Jun 24, 2019 #1 Uamuzi wa kupeleka Wabunge kushangilia Stars sio wa kiungwana hata kidogo. Kwani kazi zao za Bungeni nani anawafanyia?
Uamuzi wa kupeleka Wabunge kushangilia Stars sio wa kiungwana hata kidogo. Kwani kazi zao za Bungeni nani anawafanyia?
PANTHERA LEO JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 2,307 Reaction score 3,444 Jun 24, 2019 #2 alafu kuna m-bunge anataka bangi ziruhusiwe
Semeni Bugoke JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 355 Reaction score 605 Jun 24, 2019 #3 Nipesa yao wenyewe ndo imewapeleka mkuu
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,785 Reaction score 103,669 Jun 24, 2019 #4 kuishi hii nchi n raha sana
UdakuziMtandaoni Member Joined Oct 9, 2012 Posts 39 Reaction score 23 Jun 25, 2019 Thread starter #5 jimmy scami said: Nipesa yao wenyewe ndo imewapeleka mkuu Click to expand... sasa kwa nini waaache kazi zao?
jimmy scami said: Nipesa yao wenyewe ndo imewapeleka mkuu Click to expand... sasa kwa nini waaache kazi zao?
UdakuziMtandaoni Member Joined Oct 9, 2012 Posts 39 Reaction score 23 Jun 25, 2019 Thread starter #6 mbaga jr said: kuishi hii nchi n raha sana Click to expand... Kweli ni raha
Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,924 Jun 25, 2019 #7 UdakuziMtandaoni said: Jana nimepost kathread kangu naona jamaa wamekaswaga. Huu ni ushenzi sana Click to expand... Kuwa makini broo, usije kuswagiwa na acc.
UdakuziMtandaoni said: Jana nimepost kathread kangu naona jamaa wamekaswaga. Huu ni ushenzi sana Click to expand... Kuwa makini broo, usije kuswagiwa na acc.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,559 Jun 25, 2019 #8 UdakuziMtandaoni said: Jana nimepost kathread kangu naona jamaa wamekaswaga. Huu ni ushenzi sana Click to expand... Mimi juzi usiku mnene nilihangaika kuandaa uzi nikaupost, nilipoamka asubuhi nikakuta Mods washapitisha jambia lao, nikakasirika nikaamua kukaa kimya tu.
UdakuziMtandaoni said: Jana nimepost kathread kangu naona jamaa wamekaswaga. Huu ni ushenzi sana Click to expand... Mimi juzi usiku mnene nilihangaika kuandaa uzi nikaupost, nilipoamka asubuhi nikakuta Mods washapitisha jambia lao, nikakasirika nikaamua kukaa kimya tu.
UdakuziMtandaoni Member Joined Oct 9, 2012 Posts 39 Reaction score 23 Jun 25, 2019 Thread starter #9 Mwifwa said: Mimi juzi usiku mnene nilihangaika kuandaa uzi nikaupost, nilipoamka asubuhi nikakuta Mods washapitisha jambia lao, nikakasirika nikaamua kukaa kimya tu. Click to expand... Kumbe hata wewe, nilidhani pekeyangu. Unajua kuna wakati mods hata hawasomi yaliyoandikwa. Kwa kweli wamenikwaza sana
Mwifwa said: Mimi juzi usiku mnene nilihangaika kuandaa uzi nikaupost, nilipoamka asubuhi nikakuta Mods washapitisha jambia lao, nikakasirika nikaamua kukaa kimya tu. Click to expand... Kumbe hata wewe, nilidhani pekeyangu. Unajua kuna wakati mods hata hawasomi yaliyoandikwa. Kwa kweli wamenikwaza sana
UdakuziMtandaoni Member Joined Oct 9, 2012 Posts 39 Reaction score 23 Jun 25, 2019 Thread starter #10 Internal said: Kuwa makini broo, usije kuswagiwa na acc. Click to expand... Asante sio Broo hapo umeteleza sio kuanguka. Wakuswaga nafungua nyingine kwani wanashida gani?
Internal said: Kuwa makini broo, usije kuswagiwa na acc. Click to expand... Asante sio Broo hapo umeteleza sio kuanguka. Wakuswaga nafungua nyingine kwani wanashida gani?
UdakuziMtandaoni Member Joined Oct 9, 2012 Posts 39 Reaction score 23 Jun 27, 2019 Thread starter #11 Tayari wameshakwangua thread yangu nyingine.