hao ni wasukuma
Wazenji na hiyo nguna mbalimbali labda ingekua urojo.
Haswaa wewe utakua mzenji, napenda sana lafudhi zao.Au ubwabwa
Mkuu usibishe, achana na wavuvi wa kizenji, yaani wale jamaa wanakula ugali sana kwa samaki na ndio chakula chao cha siku zoteHakuna mzenji mwenye pawa yakumaliza huo ugali,hayo ni watu wamikoani