Wazee wetu Makamba na Kinana ni wasafi?

Wazee wetu Makamba na Kinana ni wasafi?

Kufukua makaburi hakujawahi kumwacha mtu au Taifa salama, ndio maana kwa wenye akili hufikia maridhiano na baada ya hapo wanaanza maisha upua.Ukianzisha utatatibu wa kufukua makaburi nawe ukitoka madarakani wanafukua LA kwako
Vicious circle?
 
Ni yetu macho na masikio!! Lakini pia tukumbuke kila ifikapo au kukaribia kipindi cha uchaguzi ndani ya ccm hua kunaibuka makundi mbali mbali na tuhuma mbali mbali yote hayo kupoteza wapinzani na kuwafanya waconcentrate kwenye issue za ccm badala ya zakwao.

Mwisho wa siku wanakuja kukumbuka shuka kumekucha.

Kwani wapinzani kuna umuhimu gani kujadili ishu za kinana na makamba ili hali wabunge wenu na wanachama wenu wanapigwa mabomu,virungu na risasi wawapo kwenye vikao vya ndani?
 
Unaonaje tukianza kuangalia usafi wa kiranja mkuu Jiwe kwanza kabla ya hao wazee?
Kama katiba, serikali na CCM vingekuwa na taratibu za kushitaki viongozi wake wakuu waliofanya makosa wakati wakiwa madarakani Wazee Makamba na Kinana wangekosa tuhuma zinazoweza kuwafikisha mahakamani?

Ni wasafi Kwa kiasi gani?

Awamu zilizopita kulikuwa na mazuri na mabaya Kwa taifa yalitokana na tabia au maamuzi ya viongozi wakuu, je, ni kweli wazee wetu hawa hawana baya lililostahili kwenda mahakamani?

Ni kweli wamechafuliwa? Kwanini mkondo wa kisheria haufuatwi 'kumuadhibu' Bw. Musiba? Nani alikatazwa na nani kufungua kesi mahakamani dhidi ya Musiba?

Hii inakoelekea inafungua ukurasa mpya wa kufukua makaburi ya viongozi waliopita. Pia inatuonyesha kuwa katiba yetu unahitaji kufanyiwa maboresho makubwa Sana angalau ifanane na South Africa.
 
Yako matendo yaliyofanywa na wastaafu wetu ambayo adhabu zake ingekuwa labda kifungo cha maisha jela au kunyongwa hadi kufa, lakini katiba yetu na CCM ndo vinatuelekeza kusikofaa kwa kigezo cha "scratch my back I will scratch yours". Maovu yote yanafichwa kwenye begi la umoja, mshikamano, na utulivu. Hebu fikiria twiga nzima alikuwa anapanda ndege mchana kweupe airport, mikataba mibovu ya madini na umeme, ukwepaji kodi, upigaji na ufisadi, wafanyakazi hewa lakini vyote hivyo wazee wetu wastaafu walioyaongoza hayo wako salama salimini kabisa kwenye mahekalu Yao ya kifahari na kifisadi as if nothing happened.

Haiwezekani awamu ya tano bado ihangaike na kupatia watu maji, umeme, barabara,

Katiba hii inayotegemea utashi na uthubutu wa kiongozi husika haitatufikisha kanani
Umesahau upiga dili wa hali ya juu wa uuzwaji nyumba za serikali na magumashi ya ununuzi wa kivuko kibovu ambavyo moja kwa moja Jiwe anatakiwa asimame kizimbani kuuhujumu uchumi kwa kushiriki katika upigaji hizo dili.
 
Hii inakoelekea inafungua ukurasa mpya wa kufukua makaburi ya viongozi waliopita.
Wewe ni mtoa rushwa? Unajaribu kuwapa rushwa Kinana na Makamba kwa kuwatia hofu! Wakae kimya!

Kinana na Makamba unawapa rushwa ya "kukaa kimya" ili machafu yao yasitolewe hadharani sio. Hii ndio tabia iliyoshamiri sana huko CCM kwa miaka kadhaa sasa. Tabia ya kulindana. "Huyu ni mwenzetu;" njia mnayoitumia huko serikalini na ndani ya chama?

Haya, kama vitisho ndio hivyo vya kuwanyamazisha watu. Je, nyinyi hamna hayo madhambi mnayofichiwa na hao hao mnaotaka sasa kuwatosa?

Unapokuwa wewe sio msafi, kama inavyojionyesha sasa, huwezi kuwakoromea wengine wanyamaze kwa vile tu unajiona wewe unaweza kupika majungu ya kuwanyamazisha wanaokataa kunyamazia mambo yasiyopendeza unayofanya wewe.

Bila shaka vitisho hivi mnavyotafuta kuvitumia wamevipima kabla ya kuchukua uamzi waliochukua. Hawa sio watu wa kutishiwa nyau kama wanajua matokeo ya wanayoyafanya yatawaletea madhara.

Bila shaka watakuwa wamekwisha pima ni kipi chenye madhara zaidi; ukimya wao huku wakiona yanayolikumba taifa au kutoa tahadhari na kusema waliyoyasema bila kujali yatakayowatokea wao binafsi ili mradi waepushe maangamizi ya taifa walilolitumikia maisha yao yote.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sidhani kama Kinana na MAKAmba wanahusika na utekaji
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama katiba, serikali na CCM vingekuwa na taratibu za kushitaki viongozi wake wakuu waliofanya makosa wakati wakiwa madarakani Wazee Makamba na Kinana wangekosa tuhuma zinazoweza kuwafikisha mahakamani?

Ni wasafi Kwa kiasi gani?

Awamu zilizopita kulikuwa na mazuri na mabaya Kwa taifa yalitokana na tabia au maamuzi ya viongozi wakuu, je, ni kweli wazee wetu hawa hawana baya lililostahili kwenda mahakamani?

Ni kweli wamechafuliwa? Kwanini mkondo wa kisheria haufuatwi 'kumuadhibu' Bw. Musiba? Nani alikatazwa na nani kufungua kesi mahakamani dhidi ya Musiba?

Hii inakoelekea inafungua ukurasa mpya wa kufukua makaburi ya viongozi waliopita. Pia inatuonyesha kuwa katiba yetu unahitaji kufanyiwa maboresho makubwa Sana angalau ifanane na South Africa.

Kwa hiyo watu waache kusema Ukweli sababu ya nini? Kweli hii nchi haina watu tena
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimemaanisha kuwa wazee wetu wanadai kijana anawatukana lakini hawakuona busara ya kwenda mahakamani kushitaki kutukanwa huko. Wao pia wanafahamu kuwa kutukana ni kosa kisheria. Wanaogopa nini kwenda mahakamani?

Wazee hawa wanajaribu kuiambia jamii kuwa wana uhakika wa 100% kuwa mahakama zetu haziko huru, hawawezi kutendewa haki huko. Kama wao hawana Imani na mahakama zetu Sisi wa kawaida tuliobaki itakuwaje?

Wazee wetu hawa waligundua lini kwamba mahakama zetu hazitaweza kumhukumu Musiba Kwa kosa la kutukana wazeiya?

Uhuru huo wa mahakama uliaza lini kupotea? Nami ameupoteza kwenye awamu ipi ya utawala?
Kumbe hata 'waraka' waliouandika wazee hukuusoma?
Unakuja kuanzisha mada kwa kitu ambacho huna taarifa kamili juu yake?
 
Nduli, dikteta, mwizi, muongo, mtekaji, mtesaji na MUUAJI wa Ikulu ambaye mara mbili CAG Assad alimuweka kwenye zake mbili tofauti kwa wizi wa nyumba Serikali zilizoingizia Serikali hasara ya zaidi ya trillioni 4 na ununuzi wa kivuko UOZO kwa bilioni 8 na kisha kutishia Watanzania tusikiongelee kivuko kile kwa kuwa kakigawa JWTZ na maovu mengine chungu nzima mbona huyo mwendawazimu msiba hamtaji na yeye kama ni kubwa la majizi!? Unadhani ni kwanini!?

Tia akili kichwani wewe acha kuonyesha UJUHA hadharani.

Kama katiba, serikali na CCM vingekuwa na taratibu za kushitaki viongozi wake wakuu waliofanya makosa wakati wakiwa madarakani Wazee Makamba na Kinana wangekosa tuhuma zinazoweza kuwafikisha mahakamani?

Ni wasafi Kwa kiasi gani?

Awamu zilizopita kulikuwa na mazuri na mabaya Kwa taifa yalitokana na tabia au maamuzi ya viongozi wakuu, je, ni kweli wazee wetu hawa hawana baya lililostahili kwenda mahakamani?

Ni kweli wamechafuliwa? Kwanini mkondo wa kisheria haufuatwi 'kumuadhibu' Bw. Musiba? Nani alikatazwa na nani kufungua kesi mahakamani dhidi ya Musiba?

Hii inakoelekea inafungua ukurasa mpya wa kufukua makaburi ya viongozi waliopita. Pia inatuonyesha kuwa katiba yetu unahitaji kufanyiwa maboresho makubwa Sana angalau ifanane na South Africa.
 
Huko ccm wote wanastahili kuwekwa korokoroni. Hakuna alie msafi. Juzi kuna mmoja karopoka kwamba yeye ni mfungwa mtarajiwa
 
Kama katiba, serikali na CCM vingekuwa na taratibu za kushitaki viongozi wake wakuu waliofanya makosa wakati wakiwa madarakani Wazee Makamba na Kinana wangekosa tuhuma zinazoweza kuwafikisha mahakamani?

Ni wasafi Kwa kiasi gani?

Awamu zilizopita kulikuwa na mazuri na mabaya Kwa taifa yalitokana na tabia au maamuzi ya viongozi wakuu, je, ni kweli wazee wetu hawa hawana baya lililostahili kwenda mahakamani?

Ni kweli wamechafuliwa? Kwanini mkondo wa kisheria haufuatwi 'kumuadhibu' Bw. Musiba? Nani alikatazwa na nani kufungua kesi mahakamani dhidi ya Musiba?

Hii inakoelekea inafungua ukurasa mpya wa kufukua makaburi ya viongozi waliopita. Pia inatuonyesha kuwa katiba yetu unahitaji kufanyiwa maboresho makubwa Sana angalau ifanane na South Africa.
Kwani hao wa sasa hivi wamekua wasafi lini??
 
Wanatakiwa waende Mahakamani huko ndiyo kunako haki.
Musiba ni mwna CCM..hao wazee ni wana CCM pia!

Na tuhuma zimetolewa kisiasa

Then kwanini wasizipeleke chamani mtu ashughulikiwe kichama?

Mahakama itafuata kama avenue ya kwenye chama chao humo itakua suspended!
 
Back
Top Bottom