Wazee wenzangu wa Martial Arts Special Thread

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,074
3,735
Wale wote wanaocheza Martial Arts Tanzania hapa njooni tubadilishane ujuzi

kuanzia wale wa

Japanese Shotokan (JAPAN)
SF-anniversary-21.jpg

Aikido (JAPAN)
Aikido-Allen-TX.jpg

Kick Boxing

kickboxing1.png

Tae Kwo ndo (KOREA)
Taekwondo.jpg

Muay Thai (THAILAND) HAWA NDIO KINA ONG BAK

muay-thai.jpg

Ninjitsu (JAPAN)

Dennis_King_03.jpg

KungFu (CHINA)

maxresdefault.jpg

systema (RUSSIA)

Russian-Spetsnaz-Hand-to-Hand-Combat-Russian-Systema-32.jpg

Kinomichi (FRANCE)

IMG_0788_X_500px.jpg

Kalaripayattu (INDIA)

IMG_2791.jpg

Tujadili kuhusu michezo ya martia arts kwa Tanzania

ma dojo yaliyopo

makarateka njooni tubadilishane ujuzi na mawazo kupitia hapa
 
C.T.U mkuu nilifanya shotokan karate back in 1998 - 2000 nilianzia white hadi green belt mwanzoni

Shule zikawa tight za ma boading alafu nje za jirani hapa east africa mazingira si condunsive kisha yakaja maisha hadi now nipo busy na life
Lakini soon nita settle nitawatafuta wadau

Manzese Roman Cathoric grounds Yupo Sensei mmoja long time yupo vizuri kawatoa wengi hanaga mbwembwe wa dharau wala kutaka kuwa juu I knew him since 1998.....

Ukumbi wa utamaduni wa Russia alikuwepo Ringo Sensei I dunno if still there?

Na sensei wangu nitamtafuta any soon..

What do you have bro C.T.U
 
Hivi ikitokea mpigano kati ya black belt wa shotokan na black belt wa Tae kwo ndo unadhani nani atakimbizwa?
 
Asante sana, mi sina hayo maujuzi ila napenda sana mambo ya self defence, hivi kwa hapa Dar ni eneo gani wanafunza na ni gharama kiasi gani? Nimewahi vamiwa beach na vibaka watatu wenye visu, sikua na ujuzi ila nafikiri nao walikuwa mateja tuu hawakujua kutumia silaha, niliwaweza kwa street fight tu za kuzaliwa, nilimmwagia mchanga mmoja usoni nikapiga vibaya mno. Ila siku nyingine naweza kutana na wababe si unajua hapa bongo.
 
Umenichekesha mkuu...kweli unahitaji formal training ili uwasambaratishe zaidi wakijichanganya
 
Nataka kuanzisha mchezo unaitwa Holy martial art!
Nimepata mawazo haya baada ya kujiridhisha kuwa kila aina ya mchezo wa martial art huwa kuna roho Fulani nyuma yake! Mzuka huo ukimwingia mchezaji anaweza kufanya mambo makubwa hata yeye mwenyewe kujishangaa!
Sasa kwa watakatifu kuna uwezekano Mkubwa wa kujaa Roho Mtakatifu halafu mhusika akawa kama Samsoni wa kwenye biblia ambaye alikuwa na uwezo wa kung'oa geti kama lile la ikulu kwa mikono na kupanda nalo mlimani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom