Wazee wenzangu wa junk food....!!!

Wazee wenzangu wa junk food....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
IMG_20170618_195253.png
 
watu wa phyisic(mazoez)...huwa tuna siku moja inaitwa ''cheating day"...ni siku maalum ambayo unakula chakula chchote cha junk...ili.kuulinda mwili usifikie zero fat baada ya wiki.mzima ya mazoezi....sasa hiyo siku.ikifikia bana weee...unagonga vitu kama hivo au machipsi masoda...unajiona mnene tena.....
 
hapa bongo ndio chakula watu wakila wanaona wamekula chakula bora, na ni garama. ila kwa wenzetu hiyo ni junk.
 
Back
Top Bottom