fungi6 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 287 Reaction score 267 May 4, 2020 #1 Haha ivi ni kwa nini wabongo wengi wakipewa simu ya mtu waangalie picha wana swipe next utazani wameruusiwa. Doh inaboa sana.
Haha ivi ni kwa nini wabongo wengi wakipewa simu ya mtu waangalie picha wana swipe next utazani wameruusiwa. Doh inaboa sana.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,517 Reaction score 185,622 May 4, 2020 #2 siti ya mbele kabisa nyuma ya dereva Cc Smart911
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,965 May 4, 2020 #3 Mkuu hilo ndio tatizo kubwa la wabongo, Umbea tu unawasumbua
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,834 Reaction score 40,649 May 4, 2020 #5 😂😂hata mimi huwa sielewi. . Anaanza kuangalia picha nyingine zisizo muhusu. Tena bila haya mtu anaanza na kuhoji. Huyu ndio shemeji??
😂😂hata mimi huwa sielewi. . Anaanza kuangalia picha nyingine zisizo muhusu. Tena bila haya mtu anaanza na kuhoji. Huyu ndio shemeji??
fungi6 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 287 Reaction score 267 May 4, 2020 Thread starter #6 troublemaker said: 😂😂hata mimi huwa sielewi. . Anaanza kuangalia picha nyingine zisizo muhusu. Tena bila haya mtu anaanza na kuhoji. Huyu ndio shemeji?? Click to expand... Haha kwa kweli nikazan n mm alon
troublemaker said: 😂😂hata mimi huwa sielewi. . Anaanza kuangalia picha nyingine zisizo muhusu. Tena bila haya mtu anaanza na kuhoji. Huyu ndio shemeji?? Click to expand... Haha kwa kweli nikazan n mm alon