Wazee wa uno, kati ya hawa nani mshindi?

Wazee wa uno, kati ya hawa nani mshindi?

Namge

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
1,446
Reaction score
2,002
Kuna mauno yanavunjwa na mabinti kwenye video ya Jeje ya Diamond, On the Low ya Burna boy pamoja na Joro ya Wizkid. Hizi nyimbo zina mahadhi yanayofanana.

Unafikiri ni yupi aliyepiga mauno mazuri na dance safi kama umebahatika kuziona hizo videos?
 
Back
Top Bottom