Wazee wa ulinzi na usalama hawaioni Sinza kuhusu kujiuza kwa Wanaume na Wanawake?

Dah. Kitaa cha Mori hapo Checkpoint Bar karibu na shule (is that Mapambano Primary?) tulikuwa tunafunga sound system, jioni tukitoka kazini tunapiga muziki mkubwa huku tunashushia na bia na nyama choma.

Maasi madogomadogo yalikuwepo lakini si hivyo.

Ukitoka hapo unatembea hatua chache tu mpaka maskani, kesho asubuhi unajichanganya Posta kazini.

Maisha ya Kinyamwezi tangu bongo.

Kitaa cha marehemu Mpakanjia hicho enzi hizo. Ukiibuka mara kwa Remmy, mara unafukuzana na watoto wa chuo mitaa ya Mwenge, mara umejichanganya na masela wa Industrial area.

From Bongo New York to New York!
We jamaa nadhani umeya enjoy maisha mpaka bhasi.....

Kwenye starehe sidhani kama kuna ambacho hujafanya.....

Bado nalivutia lile kabati lako la perfume hatari sana...
 
Mkuu siku nimetoka job late nikasema nile supu ya kuku kipande ya soccer city na boss wangu dah nilijuta maana mpaka leo boss ananiambia umeamua kukaa mori kisa zile biashara sio
hahaaa yaaani wewe " ulikwenda soccer City""?... ile bara + yote haifai aiseee
 
Jana majira ya saa tatu hadi nne nikiwa napata msosi bar moja hapa Sinza Mori lilikuja kundi kubwa la vijana wa kiume (kama 14 hivi) mashoga na kukaa katika ile bar.

Nilistaajabu sana kwani walikuwepo bila hofu yeyote wakipata maji story na vicheko vya ajabu huku wakijipitisha pitisha na kutuma wahudumu watoe namba kwa wale waliowapenda

Nashangaa Polisi hawaoni huu uchafu unaoendelea Sinza? Cha kushangaza huku hadi madada poa siku hizi wanakuwepo barabarani mapema kabisa saa 12 (mtaa wa chui) na saa moja kwinginepo

HIMA Yangu, Polisi wafanye njia za kutokomeza vitendo hivi maana hadi inakuwa kero kuishi na familia mitaa hii hususani watoto.
Yaani polisi waache kupambana na wapinzani wa jiwe wahangaike na wadadapoa?
 
Huyo unayemwambia akawashike unajuaje kuwa nayeye siye muuzaji au mteja wao?
Hiyo ni roho chafu na haikuanza Leo, ukiizuia hapa kwa bunduki itafanyika pale kwa namna nyingine.
Pia kumbuka ukahaba na uovu mwingi unafanyika duniani kwote ambao pia ni chukizo kwa Mungu.
Umesahau wizi, ujambazi, rushwa , uuaji, uchawi na ushirikina, wivu, ulevi, uesharati, hasira vinalitesa taiga letu.
Swali kwako: Wewe ulikwenda bar usiku kufanya nini?
 
Hahahaa huyu jamaa anauliza maswali kama Baba mzazi vile
 
Huyo unayemwambia akawashike unajuaje kuwa nayeye siye muuzaji au mteja wao?
Hiyo ni roho chafu na haikuanza Leo, ukiizuia hapa kwa bunduki itafanyika pale kwa namna nyingine.
Pia kumbuka ukahaba na uovu mwingi unafanyika duniani kwote ambao pia ni chukizo kwa Mungu.
Umesahau wizi, ujambazi, rushwa , uuaji, uchawi na ushirikina, wivu, ulevi, uesharati, hasira vinalitesa taiga letu.
Swali kwako: Wewe ulikwenda bar usiku kufanya nini?

Nadhani ukisoma mwanzo tuu nilisema nilienda kula. Au unaona saa tatu nilichelewa kwenda hapo kula? Hawa jamaa kwakuwa wanahusika na ulinzi na usalama walinde na makazi yetu kwenye janga hili la hawa wana haramu
 
Jana majira ya saa tatu hadi nne nikiwa napata msosi bar moja hapa Sinza Mori lilikuja kundi kubwa la vijana wa kiume (kama 14 hivi) mashoga na kukaa katika ile bar.

Nilistaajabu sana kwani walikuwepo bila hofu yeyote wakipata maji story na vicheko vya ajabu huku wakijipitisha pitisha na kutuma wahudumu watoe namba kwa wale waliowapenda

Nashangaa Polisi hawaoni huu uchafu unaoendelea Sinza? Cha kushangaza huku hadi madada poa siku hizi wanakuwepo barabarani mapema kabisa saa 12 (mtaa wa chui) na saa moja kwinginepo

HIMA Yangu, Polisi wafanye njia za kutokomeza vitendo hivi maana hadi inakuwa kero kuishi na familia mitaa hii hususani watoto.
Wanafunzi wa jangwani tulisema wameingilia kazi isiyo yao ! Wabakaji tunasema wamekosa wakubwa wenzao !?? Sasa wakubwa wenzao wamejitolea ili kupunguza ubakaji n'a mimba za Wanafunzi bado pia hupendi !??
 
Aiseee Sasa hayo masaa upite na mtu wa heshima c unadharaulika
Kwani huyo mtu wako wa heshima atakuwa ametoka sayari gani !? Ujue hakuna jipya chini y'a jua we kaa n'a ufanye yakwako yaliyomema
 
Jana majira ya saa tatu hadi nne nikiwa napata msosi bar moja hapa Sinza Mori lilikuja kundi kubwa la vijana wa kiume (kama 14 hivi) mashoga na kukaa katika ile bar.

Nilistaajabu sana kwani walikuwepo bila hofu yeyote wakipata maji story na vicheko vya ajabu huku wakijipitisha pitisha na kutuma wahudumu watoe namba kwa wale waliowapenda

Nashangaa Polisi hawaoni huu uchafu unaoendelea Sinza? Cha kushangaza huku hadi madada poa siku hizi wanakuwepo barabarani mapema kabisa saa 12 (mtaa wa chui) na saa moja kwinginepo

HIMA Yangu, Polisi wafanye njia za kutokomeza vitendo hivi maana hadi inakuwa kero kuishi na familia mitaa hii hususani watoto.
Polisi wanapita sana tu lakini ufanisi ni mdogo
 
Nadhani ukisoma mwanzo tuu nilisema nilienda kula. Au unaona saa tatu nilichelewa kwenda hapo kula? Hawa jamaa kwakuwa wanahusika na ulinzi na usalama walinde na makazi yetu kwenye janga hili la hawa wana haramu
Nimekusoma baba, siku nyingine jaribu kujipikia au ununue msosi ukalie gesti au home maana unaweza jikuta unakemea mapepo huku umemkumbatia kahaba mmoja kifuani.
 
Hao watakuwa chadema hilo eneo liko chini ya Meya wa chadema muulizeni Meya hawaoni au hachukui hatua Sababu ni Wana chadema wenzie
 
Back
Top Bottom