Hizo pirating sites watazifungia huko marekani tu, lakini kwa nchi za Ulaya mashariki watachemsha na huko ndiko wanako-host hayo madude siku hizi. Ila wabongo mpunguze wizi bana......wizi wizi tu kila sehemu halafu wenzenu wakijichukulia vijisenti kidogo tu makelele kibao