Mwaka mpya umenikuta nimelala home, hii maanake nini mkuu?wanaoamini katika sheria ya karma wanadai tukio la mwisho ambalo utakuwa unalifanya wakati wa kuingia mwaka mpya,ndio litatoa hatma ya mzunguko wako wa maisha kwa mwaka mzima.
kama mwaka mpya ulikukuta lodge unangonoka na kahaba au bar unalewa pombe basi destiny yako ya maisha kwa mwaka mzima, itaenda sambamba na baadhi ya matukio uliyoyafanya siku ambayo mwaka uligeuka. hiyo ni kwa mujibu ya wanaomini katika sheria ya karma.
kwangu mwaka mpya umenikuta nikiwa katika roadtrip ya kikazi maeneo ya nyanda za juu kusini. ni imani yangu 2023 utakuwa ni mwaka wenye roadtrip nyingi za faida kwangu na kwako pia. happy new year dear friends.
nimekuwekea ka-video hapa chini.
Mkuu usiache pombe ikutawale kiasi hicho. Hapo unakua unachanganya mambo mawili kwanza kichwa kinakua hakipo katika hali yake ya kawaida halafu kichwa hicho hicho utegemee kikuongoze kwa safari yako.Noted mkuu... sema wengine tupo addicted sana aiseeee
kulala sio tukio baya mkuu...kibaya mwaka mpya kukuta ukiwa umemlalia kahaba.[emoji16]Mwaka mpya umenikuta nimelala home, hii maanake nini mkuu?
Kutoka Arusha - Dom tuta la mwisho lipo kondoa baada ya hapo unalikuta mipango. Ni sehemu sasahihi ya kujali muda na kuangalia uwezo WA chombo chako.Hasa kwa kutembea usiku, ni kichefuchefu.
Jana nimetembea Arusha to Dodoma njia haina matuta ya kipuuzi, njia pana, safi. Kutoka mnada wa nyama pale Dodoma kwenda Iringa hali ikabadilika ghafla utafikiri nimehama nchi nimeingia Sudani.
Hatuna national highyway code ya kuweka utaratibu consistent wa ujenzi wa barabara? Kila mhandisi anajiamulia lake? Matuta hayaongezi gharama za ujenzi? Na zile breki zinazofungwa na heavy trucks linapofikia tuta, hazisababishi barabara kuhitaji kuwa strengthened zaidi ili isitengeneze mawimbi kwenye lile eneo?
Kama unaweka tuta, kibao cha 50 cha nini? Vipi usiku ambapo hakuna pedestrian activity kwenye hilo eneo, hilo tuta lina serve purpose gani?
Mlioshi nchi za wenzetu, wanafanyaje?
Yange yange kama wote alafu Wana njaa kinoma. Hadi Raha ya kutembea hakunaMonday? Kwanini?
Halafu niliwahi kusema siku moja.
Wabongo ni kukosa exposure na uthubutu wa kuwa tofauti.
Ila wakiamua wanafanya.
Ukisoma threads za miaka 5 nyuma za Subaru, utashangaa sana. Ila sasa zimetapakaa kila kona.
Tuna ile "fear of unknown" yani tunaogopa kitu tusichokiona. Kitu cha kufikirika.
Mkuu leo nimesoma kwa millard ayo kuna ajali imeuwa familia nzima.. nimesikitika sana jamani kusafir na familia ni risk sanaaa aiseeMkuu usiache pombe ikutawale kiasi hicho. Hapo unakua unachanganya mambo mawili kwanza kichwa kinakua hakipo katika hali yake ya kawaida halafu kichwa hicho hicho utegemee kikuongoze kwa safari yako.
Samahani mkuu ila nakuomba zingatia sana kutokutumia kilevi wakati wa safari hasa wewe ukiwa dereva.
Haha hizi imani bhana, umenikumbusha zamani mwaka fulani niliingia bafuni kuoga ili mwaka mpya unikute naoga, maana nilipokuwa mdogo kabla sijabalehe nilikuwa sipendi kuoga kila siku [emoji3][emoji3]wanaoamini katika sheria ya karma wanadai tukio la mwisho ambalo utakuwa unalifanya wakati wa kuingia mwaka mpya,ndio litatoa hatma ya mzunguko wako wa maisha kwa mwaka mzima.
kama mwaka mpya ulikukuta lodge unangonoka na kahaba au bar unalewa pombe basi destiny yako ya maisha kwa mwaka mzima, itaenda sambamba na baadhi ya matukio uliyoyafanya siku ambayo mwaka uligeuka. hiyo ni kwa mujibu ya wanaomini katika sheria ya karma.
kwangu mwaka mpya umenikuta nikiwa katika roadtrip ya kikazi maeneo ya nyanda za juu kusini. ni imani yangu 2023 utakuwa ni mwaka wenye roadtrip nyingi za faida kwangu na kwako pia. happy new year dear friends.
nimekuwekea ka-video hapa chini.
Daah!!Mkuu leo nimesoma kwa millard ayo kuna ajali imeuwa familia nzima.. nimesikitika sana jamani kusafir na familia ni risk sanaaa aisee
[emoji1787]Haha hizi imani bhana, umenikumbusha zamani mwaka fulani niliingia bafuni kuoga ili mwaka mpya unikute naoga, maana nilipokuwa mdogo kabla sijabalehe nilikuwa sipendi kuoga kila siku [emoji3][emoji3]
Basi nikaamini kabisa kuwa eti mwaka huo uliofuata ningependa sana kuoga, ila kilichofuata ni muumba ndiyo anajua, hadi nilipokuja kuwa mtu mzima ndipo niliacha huo ujinga [emoji16][emoji16]
Anyways happy new year chief, to more years of successful and memorable road trips.
View attachment 2467013
Chuma hiyo hapo V8, wapenda ligi hapo ni mwendo wa kumwaga moto hadi Prado ivunje piston
View attachment 2467013
Chuma hiyo hapo V8, wapenda ligi hapo ni mwendo wa kumwaga moto hadi Prado ivunje piston
Pole sana aisee. Ila video niliyoiattach ni hiyohiyo moja hizo nyingine zilikuwa mbwembwe za tiktok tu.Kuna video moja hapo chini imegoma ku play inenisikitisha