Habari wakuu,hivi kuingia mji wa Kigali na gari binafsi mashariti Yao yakoje?mfano gari ya mwaka gani ndo wanaruhusu kuingia nayo ukiwa unaenda kutembea?