Pole mkuu, safari za usiku hasa kama unaendesha peke yako na haupo kwenye convoy it's not worth it, safari za usiku ni LAZIMA uwe kwenye convoy na mtambuane sio kujiingiza tu kwenye convoy, ndio maana kama unataka kuendesha usiku on T1 ,ni muhimu uondoke Dar alasiri by 1800 uwe pale msamvu, ukifika pale wale jamaa wa ITs unafanya nao urafiki ili mtambuane na mkitoka pale upo ndani na lolote likitokea unajua una back upAnything kinatokea uwapo na chombo cha moto, ni vyema ku rate usiku na mchana.. Nilishalala porini kishenzi na hakuna gari ilijaribu simama ili kuwa ni sehemu hatari... Nilichofanya nilijiweka fit kwa lolote litalo tokea
Sure, kuna masafari ya papo kwa papo hao IT wanakuwa hawapo na hata kama hawapo wanashindwa himili haraka zako unawakata kama upepoPole mkuu, safari za usiku hasa kama unaendesha peke yako na haupo kwenye convoy it's not worth it, safari za usiku ni LAZIMA uwe kwenye convoy na mtambuane sio kujiingiza tu kwenye convoy, ndio maana kama unataka kuendesha usiku on T1 ,ni muhimu uondoke Dar alasiri by 1800 uwe pale msamvu, ukifika pale wale jamaa wa ITs unafanya nao urafiki ili mtambuane na mkitoka pale upo ndani na lolote likitokea unajua una back up
Hizo breakdown zitakuwa magari ya Mjerumani tu au sio ExtrovertJana Dar ~ Moro ~ Dom ilikua busy sana, convoys za hapa na pale za kutosha, pia observed breakdowns nyingi kidogo sijui ndio wengi walisha vyuma bila proper checks after kukosa tickets kupeleka watoto shule au la?
Hizo pisi kali unaziona huko Kona za Iyovi na Kitonga au mjini ambako huwezi kuwa mwendo mkali? Wewe kama unapenda kusafiri usiku safiri tu ila kwa mazingira ya Tz sio salama hata kidogo. Na tusidanganyane kinachokwepwa mchana ni Askari na tochi zao Tu kitu ambacho ni rahisi kuepuka just do 50koh on 50kph zone.Yes mkuu na motor ina perform vema usiku, cool temperature na tyres na pia kwa driver unakua more concentrated kuona ya mbele ambako unaongozwa na lights zako, mchana mara pisi kali imekatiza na macho yatageuka ti kuangalia,just imagine upo 120km/hr na untangling pisi kali kwa 5s, meters kibao unakua ume cover huku ukiwa ni passenger sio dreva!
Kwa macho yangu ya kutembelea garage asilimia zaidi ya 95% nakuta na magari from japan mabovu yanatengezwa, kwa ufupi gari mbovu kabisa hapa nchini ni hao wajapanHizo breakdown zitakuwa magari ya Mjerumani tu au sio Extrovert
Upo sahihi kabisa.Kwasababu zipo nyingi, sio ajbu pia kuzikuta nyingi.
Sawa mkuu nimekuelewa hasa, but swali dogo tu freeway unaweka 50km/h,hii ni speed ya kwenye makazi, kutoka pale Ruaha Iringa hadi kitonga pass kuna zaidi ya 30zones za 50km/h!,uendeshaji huu unaua gari!Hizo pisi kali unaziona huko Kona za Iyovi na Kitonga au mjini ambako huwezi kuwa mwendo mkali? Wewe kama unapenda kusafiri usiku safiri tu ila kwa mazingira ya Tz sio salama hata kidogo. Na tusidanganyane kinachokwepwa mchana ni Askari na tochi zao Tu kitu ambacho ni rahisi kuepuka just do 50koh on 50kph zone.
Salute mkuu kama una uwezo wa kuzikata ITs zinazoanza safari pale msamvu at 1900 na 0500 zipo borders, upo safi mkuu, nitamwomba Mr.PRONDO tuandae road trips kwa wapenzi wa uzi huu (binafsi lazima nipitie humu mara nyingi tu per day)Sure, kuna masafari ya papo kwa papo hao IT wanakuwa hawapo na hata kama hawapo wanashindwa himili haraka zako unawakata kama upepo
Kuna road trip ya huu uzi inaandaliwa na JBourne59 nafikiri maadalizi yako mwishoni.Salute mkuu kama una uwezo wa kuzikata ITs zinazoanza safari pale msamvu at 1900 na 0500 zipo borders, upo safi mkuu, nitamwomba Mr.PRONDO tuandae road trips kwa wapenzi wa uzi huu (binafsi lazima nipitie humu mara nyingi tu per day)
😊😊😊 Sijawai sumbuliwa na IT labda kwa gari ambayo imezidi uwezo kwa kila kitu, ila hizi common huwa mazichapa haswaaSalute mkuu kama una uwezo wa kuzikata ITs zinazoanza safari pale msamvu at 1900 na 0500 zipo borders, upo safi mkuu, nitamwomba Mr.PRONDO tuandae road trips kwa wapenzi wa uzi huu (binafsi lazima nipitie humu mara nyingi tu per day)
Ukiendesha mchana, unakuwa tayari kufuata hizo speed limits, huna haraka vinginevyo itakula kwako.Sawa mkuu nimekuelewa hasa, but swali dogo tu freeway unaweka 50km/h,hii ni speed ya kwenye makazi, kutoka pale Ruaha Iringa hadi kitonga pass kuna zaidi ya 30zones za 50km/h!,uendeshaji huu unaua gari!
Welldone mkuu,I love your MOJO😊😊😊 Sijawai sumbuliwa na IT labda kwa gari ambayo imezidi uwezo kwa kila kitu, ila hizi common huwa mazichapa haswaa
Yess there you areNgonga Beach?
Ni kweli ndio maana siwezi endesha mchana!,elewa kutoka DAR hadi Moro ni 200km,mchana distance hii unaweza kutumia 3-4 hrs,,na unawasili Moro ukiwa umechoka na frustrated 😠, ndio maana Dar to Moro ondoka at 1400,police officers wanakua wameshafunga hesabu!Ukiendesha mchana, unakuwa tayari kufuata hizo speed limits, huna haraka vinginevyo itakula kwako.
ThanksKuna road trip ya huu uzi inaandaliwa na JBourne59 nafikiri maadalizi yako mwishoni.
Its a road trip,supposed to be fun and relaxed, not a race. Kama una haraka take a risk tembea usiku. Kama unasafiri unataka kuinjoi mandhari na driving safiri mchana.Ni kweli ndio maana siwezi endesha mchana!,elewa kutoka DAR hadi Moro ni 200km,mchana distance hii unaweza kutumia 3-4 hrs,,na unawasili Moro ukiwa umechoka na frustrated 😠, ndio maana Dar to Moro ondoka at 1400,police officers wanakua wameshafunga hesabu!
Agreed 100%nawe hii itakua ni road trip SIO racing trip, lengo ni kuenjoy our beautiful country ,nchi yetu ni nzuri guy'sIts a road trip,supposed to be fun and relaxed, not a race. Kama una haraka take a risk tembea usiku. Kama unasafiri unataka kuinjoi mandhari na driving safiri mchana.
Inavutia livingstone rangeRoad ya kwenda ziwa Nyasa nice for Vacation kuna view nzuri za safu za milima panapendeza. Nilikua huko na familia tunabarizi kidogo
View attachment 2345640
Speed ya 50kph inaua gari?Sawa mkuu nimekuelewa hasa, but swali dogo tu freeway unaweka 50km/h,hii ni speed ya kwenye makazi, kutoka pale Ruaha Iringa hadi kitonga pass kuna zaidi ya 30zones za 50km/h!,uendeshaji huu unaua gari!