Pole sana mkuu, hii Tyre umeibadilisha?maana road trip tyres mkuu ni critical thing, never compromise kuhusu tyres, maana ndio contact kati ya gari na barabara

Kitu cha kwanza naogopa kwenye gari ni tairi 🫣🫣 nikiona ina mushkeli hata kidogo ni bora nisifanye safari hadi zibadilishwe.. nikikaribu kuendesha nakosa amani kabisa mda wote naona inapasuka