[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mzee wa kimasai kaharibu hali ya hewa kabisaKuna siku nilikua natoka dar kwenda bara. Nikapita mbezi kulikua na watu wengi saaana na gari ndogo nyingi Mida ya saa Saba mchanna.
Nika park wakanikimbilai vijana wanasema wana abiria wa Moro nikawambia nahitaji wa moja Kwa moja mpaka dom waksema hakuna hapo hao abiria wote ni wa Moro wanangoja abood zitoke Moro zije ziwabebe.
Wakati natafakari akatokea mbaba mmoja kavaa nguo za kimasai akaniuliza naenda wapi nikamjibu Dom, akauliza nauli ya Dom ngapi nikamtaji. Akasema yeye analipa nauli ya Dom lakini atashuka Moro na yupo na mwanae. Nikasema hamna shida.
Tuka Anza safari Yule Mzee WA kimasai alikaa seat ya mbele na mwanae nyuma. Nilianza kuona kero baada ya Mzee kuingiza mkono wake kwenye shuka lake na kukuna P***bu Kama vile yupo peke Ake chooni hivi ili bidi nizime AC tule upepo maana Hali ilibadilika. Mpaka tuna fika Moro Ile pesa yake ikabidi ninunue manukato.
Kweli kabisa, japo mimi Tangu UVIKO ulivyoanza nikipakia mtu yeyote kwenye gari, nazima AC tunapata hewa ya njeHa ha ha pole sana! Kuna watu ukiwapakia inabidi ufungue vioo!
hukukutana na msafara wa makamu wa Rais? Au umekuta msafara ushapita?Ndio Mkuu
Upo vizuri bob.Asante mkuu..[emoji120][emoji120]
Huwa najitahidi sana nisipate vyeti...miaka takrabani 8, hicho ni cheti cha 4..
Akupe kifo sasa.Yani mpaka vidole vimetoka jasho hapa kuimagine tu situation hii!!!
Ndio uwe na 250+hp na 260km/h kwenye kisahani, Mungu akupe nini tena?
Dah hapo patamu kweli yani ningenyoosha sana 😅 hasa uwe na chuma yenye 260KPH ni kusepa tu!Wakuu nimesafiri salama kabisa. Nimefika Tanga Mida ya saa kumi na moja hivi. Kuanzia moro kwenda chalinze nilikuta msafara wa makamu wa rais, basi askari wakaturuhusu wenye magari madogo tutangulie. Magari makubwa yote yakazuiliwa na magari yote kutoka DSM kuelekea Morogoro yakazuiliwa. Basi tukajikuta barabarani tupo wenyewe tu na uelekeo ni mmoja na askari wanaelekeza kuwa tukimbie. Aisee nimekimbiza gari balaa, nimejikuta naenda hadi 170kph. Kuna mwamba ana Toyota crown athlete ametupita kama vile tumesimama. Na kuna jamaa ana raum nyekundu, aisee ameikomesha ile gari, alikuwa kama anapaa na vile tochi zote ziliondolewa
Hapo ni weaving ya ajabu yani ilikuwa chase race game! Namkimbiza wa mbele nampita narudi kushoto chap 😅 yani zaidi ya autobhan!Yani mpaka vidole vimetoka jasho hapa kuimagine tu situation hii!!!
Ndio uwe na 250+hp na 260km/h kwenye kisahani, Mungu akupe nini tena?
Mara nyingi naonaga madereva wengine wapo super slow na sijawahi ogopa trafic barabarani.Duh mwaka ukiisha una vyeti kama 40 hivi!
Ukiweka mafuta ya ef 5 baada ya kumpa agizo mshika pampu lazma uchezee redio ya gari kidogo ili kupoteza maboya😅 na litre 2.10 yako hahahah haina kudai risiti.Unakuta mtu anatoa elfu 5 huku amenyosha macho kwenye usukani..hataki hata kugeuka yaani.
Sasa yule mteja alitoa elfu 10 ,kumbe ametamka awekewe ya elfu 5 wakati pump attendant ashaondoka kwenda kufungua gari....si akawekewa yote ya elfu 10!Alooo hapakutosha pale sheli😂😂😂😂😂😂😂.,akaanza kudai elfu 5 yake huku akitoa matusi yote.Ukiweka mafuta ya ef 5 baada ya kumpa agizo mshika pampu lazma uchezee redio ya gari kidogo ili kupoteza maboya😅 na litre 2.10 yako hahahah haina kudai risiti.
Mara nyingi nikiwa naenda Park ndio nawekaga wese la buku 5 la kuamkia sheli!
Bajeti.Sasa yule mteja alitoa elfu 10 ,kumbe ametamka awekewe ya elfu 5 wakati pump attendant ashaondoka kwenda kufungua gari....si akawekewa yote ya elfu 10!Alooo hapakutosha pale sheli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,akaanza kudai elfu 5 yake huku akitoa matusi yote.
Wanaume tafuteni hela jamani.
Kuna dem na stress zake aliwahi kuniwekea wese la 50 badala ya 30! Ilikula kwake straight awaySasa yule mteja alitoa elfu 10 ,kumbe ametamka awekewe ya elfu 5 wakati pump attendant ashaondoka kwenda kufungua gari....si akawekewa yote ya elfu 10!Alooo hapakutosha pale sheli😂😂😂😂😂😂😂.,akaanza kudai elfu 5 yake huku akitoa matusi yote.
Wanaume tafuteni hela jamani.
Hii ndio inanifanya nipendage safari za night😅Safiri usiku maanake vyeti ni kwenye 50 limit au panazuia kuovateki usiku hamna hivyo vizuizi.
Angesema tangu mwanzo,,siyo anabadilisha kiasi wakati mtu alishaondoka na anabadilisha kwa kumung'unya mdomo badala ya kusema tu kwa nguvu kwamba nataka ya elfu 5.Bajeti.
Hayo ni makosa ya kiufundi,atakuwa hakusikia vizuri...Kuna dem na stress zake aliwahi kuniwekea wese la 50 badala ya 30! Ilikula kwake straight away
Alijieleza kuwa aliskia 50 sema ana mawazo sijui blaah blaah alikuwa na kipengele. Ilibidi nichukue namba yake ili nikiwa fresh nimchekiHayo ni makosa ya kiufundi,atakuwa hakusikia vizuri...
Mwingine anasikia lakini anakosea pale kwenye kuandika.