Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,452
.....hapo kila mtu amejitahidi kupima mbavu za usafiri wakeWakuu nimesafiri salama kabisa. Nimefika Mida ya saa kumi na moja hivi. Kuanzia moro kwenda chalinze nilikuta msafara wa makamu wa rais, basi askari wakaturuhusu wenye magari madogo tutangulie. Magari makubwa yote yakazuiliwa na magari yote kutoka DSM kuelekea Morogoro yakazuiliwa. Basi tukajikuta barabarani tupo wenyewe tu na uelekeo ni mmoja na askari wanaelekeza kuwa tukimbie. Aisee nimekimbiza gari balaa, nimejikuta naenda hadi 170kph. Kuna mwamba ana Toyota crown athlete ametupita kama vile tumesimama. Na kuna jamaa ana raum nyekundu, aisee ameikomesha ile gari, alikuwa kama anapaa na vile tochi zote ziliondolewa
Mkuu hiyo njia haipitwi ni vumbiLami kwa lami?
Huu mwendo gari inakula mafuta vizuri sana wakuu. Pia any emergency you can handle itHuo mwendo ni mzuri hata kiuchumi
Mkuu, Jamaa wanakamua ni balaa. Tulikuwa kama watatu hivi tunakimbizana. Ikawa ni pita nikupite, na gari zote zinazokuja mbele yetu zimezuiliwa na malori yote yamepaki pembeni, it was like fast and furious. Ila jamaa wa Toyota Crown Athlete alikuja akatupita na hatukuweza kumwona tena mara tu alivotupita maeneo ya Msitu wa Mwidu......hapo kila mtu amejitahidi kupima mbavu za usafiri wake
Mwanangu unajitahidi sana kuheshimu sheria za barabarani! Miaka 8 vyeti vinne tu! Hiyo safi, hakuna haja ya kuwa na ugomvi na askari wa usalama barabarani. Mi pia napenda kutii sheria bila shuruti inanisaidia sana kupunguza gharama za safari bila sababu ya msingiAsante mkuu..[emoji120][emoji120]
Huwa najitahidi sana nisipate vyeti...miaka takrabani 8, hicho ni cheti cha 4..
Mkuu sikuondoka mapema sana nilitaka nipate na abiria kidogo wa kunichangia mafuta maana nilikuwa peke yangu tuKila la kheri. Muhimu kufika salama sometimes Raha kuwahi kidogo.
Hizi bahati mbona wengine hatuzipati 😂😂😂Wakuu nimesafiri salama kabisa. Nimefika Tanga Mida ya saa kumi na moja hivi. Kuanzia moro kwenda chalinze nilikuta msafara wa makamu wa rais, basi askari wakaturuhusu wenye magari madogo tutangulie. Magari makubwa yote yakazuiliwa na magari yote kutoka DSM kuelekea Morogoro yakazuiliwa. Basi tukajikuta barabarani tupo wenyewe tu na uelekeo ni mmoja na askari wanaelekeza kuwa tukimbie. Aisee nimekimbiza gari balaa, nimejikuta naenda hadi 170kph. Kuna mwamba ana Toyota crown athlete ametupita kama vile tumesimama. Na kuna jamaa ana raum nyekundu, aisee ameikomesha ile gari, alikuwa kama anapaa na vile tochi zote ziliondolewa
Vumbi mkuu kipande Cha Turiani kuitafuta HandeniLami kwa lami?
Nilipata mkuu, wa kawaida tu, baba mmoja alikuwa na mtoto wake. Na huwa sichukui abiria wenye mizigoAisee! Ulipata abiria wa aina gani?!
Ningewapa show wasingeamini!! Lah!
Kwa mwaka napata vyeti kama vinne hivi. Hii ya juzi nilipata cheti kimoja nimeingia kwenye 50 nikahisi hawapo nikajiachia!Asante mkuu..[emoji120][emoji120]
Huwa najitahidi sana nisipate vyeti...miaka takrabani 8, hicho ni cheti cha 4..
Yani mpaka vidole vimetoka jasho hapa kuimagine tu situation hii!!!Wakuu nimesafiri salama kabisa. Nimefika Tanga Mida ya saa kumi na moja hivi. Kuanzia moro kwenda chalinze nilikuta msafara wa makamu wa rais, basi askari wakaturuhusu wenye magari madogo tutangulie. Magari makubwa yote yakazuiliwa na magari yote kutoka DSM kuelekea Morogoro yakazuiliwa. Basi tukajikuta barabarani tupo wenyewe tu na uelekeo ni mmoja na askari wanaelekeza kuwa tukimbie. Aisee nimekimbiza gari balaa, nimejikuta naenda hadi 170kph. Kuna mwamba ana Toyota crown athlete ametupita kama vile tumesimama. Na kuna jamaa ana raum nyekundu, aisee ameikomesha ile gari, alikuwa kama anapaa na vile tochi zote ziliondolewa