Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Umenikumbusha nilikua na Ka IST ka mkopo niliunga na msafara from Kibaha to dodoma niliwasha taa na fog traffic walijua ni Usalama labda.
hahaa...yani bahati yako nzuri. Kuna mwingine gari ilitoka ya msafara ilitoka kwenye msafara ikamuweka mtu kati jamaa alounga kwenye msafara. Jamaa akamsimamishwa..hahaa na wakaichukua leseni yake asee..dah
 
 
Nadhani kwenye ulakshari Al saedy ni la mwisho.
Hata AC zao zimeharibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…