Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
SEX acha na mambo ya chakula wewe, chakula hakitokusaidia kituHuyo Mungu amekuumba,akakupa na pumzi,na ili uendelee Kuishi akakuwekea na chakula ule kwa sababu unaishi mwilini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kikawaida chakula ni muhimu zaidi.Sawa, kila mtu ana namna anavyo ona mkuu.. ndio maana naona sex muhimu zaidi na wewe unaoana chakula ndio zaidi
Haujui tu raha ya kukaa uchi
Tufanye kwa vitendo hili jaribioSEX acha na mambo ya chakula wewe, chakula hakitokusaidia kitu
mie na sex ili kuishi
Wanangu sana hawaSubiri usiku ukapambane na mabasi
Hiyo hata kesho, mleteni tu huyo mtu wa ku sex nae, yaani nitafurahije 🥰 🥰 🥰Tufanye kwa vitendo hili jaribio
Tukufungue ndani wiki nzima bila kula chakula,ila tukuruhusu ufanye hiyo sex.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukae wiki nzima bila kula!Hiyo hata kesho, mleteni tu huyo mtu wa ku sex nae, yaani nitafurahije
ndio ila sex iwepo
Utaleta picha za trip ya koridoni ukiwa uchi? Hii ni kwa mujibu wa mwongozo wa Holy Man
Siwezi fungua attachment kwa kutumia App.
Usiwe mseamaji wangu.. mbona wabadili gear angani tena 🙂🙂🙂
Tumeshakubaliana anaanza Holy man kutupa mifano maana hii trip ya koridoni ameivumbua yeye leo.Utaleta picha za trip ya koridoni ukiwa uchi? Hii ni kwa niaba ya mwongozo wa Holy Man
Usiwe mseamaji wangu.. mbona wabadili gear angani tena 🙂🙂🙂
Hilo limepita bila kupingwa, isije huyo atae kuwa anakula ndio mkamkuta kafa..
Hilo limepita bila kupingwa, isije huyo atae kuwa anakula ndio mkamkuta kafa..
Maana moto nitao uwasha wa siku 7 x 24... awwww... atakuja simulia