Nimetoka Dar saa 10 alfajiri now nipo Dom ila nilipita njia ya msoga kufika msata napigwa tochi aise jamaa wanakusanya za kubrashia viatu ni balaa hawapokei buku 5 ni kuanzia 10 na kuendekea.
Nimetoka Dar saa 10 alfajiri now nipo Dom ila nilipita njia ya msoga kufika msata napigwa tochi aise jamaa wanakusanya za kubrashia viatu ni balaa hawapokei buku 5 ni kuanzia 10 na kuendekea.View attachment 1657468

Kipande cha kutoka SHY to Mwanza, mkeka upo vizuri?
Nilipita usiku mwaka jana hiyo njia. Kuna mashimo ya hatari katikati mwa road. Nilijuta kupita hiyo njia. Nilifika Mwanza nasonya sana na kuwatukana Tanroad matusi yote!!