mwendazake-ndago
Member
- May 26, 2021
- 96
- 723
London- Manchester
Naona mbele yangu Aston Martin DB9 View attachment 1830721
London- Manchester
Naona mbele yangu Aston Martin Gari kama hili DB12 Aston Martin ilikamatwagwa pale Oysterbay police iliibiwa South Africa. yaani ni kama unavyoiona hapo ilikaa palekaribia miez 9 ilipigwa vumbi balaa roho ilikuwa inaniuma kinoma utafikiria yangu. sijui ikaendaga wapi? au sijui kama interpol waliichukua kuirudisha south.
Gari kama hili lenyewe lilikuwa DB12 Aston Martin ilikamatwagwa pale Oysterbay police iliibiwa South Africa. yaani ni kama unavyoiona hapo ilikaa palekaribia miez 9 ilipigwa vumbi balaa roho ilikuwa inaniuma kinoma utafikiria yangu. sijui ikaendaga wapi? au sijui kama interpol waliichukua kuirudisha south.London- Manchester
Naona mbele yangu Aston Martin DB9 View attachment 1830721
Acha tu mkuu.Wakuu wa nchi hii wanajua, sema utelekezaji ndio wanakuwa kama wamepigwa upofu. Fikiri ka njia kale ka chalinze kanapitisha mizigo yote ya kwenda Burundi, Rwanda, Congo, Zambia etc..
Nao wanao amua kuiba gari kama hilo, na kulileta huku bongo hawana akili nzuriGari kama hili lenyewe lilikuwa DB12 Aston Martin ilikamatwagwa pale Oysterbay police iliibiwa South Africa. yaani ni kama unavyoiona hapo ilikaa palekaribia miez 9 ilipigwa vumbi balaa roho ilikuwa inaniuma kinoma utafikiria yangu. sijui ikaendaga wapi? au sijui kama interpol waliichukua kuirudisha south.
Gari kama hili lenyewe lilikuwa DB12 Aston Martin ilikamatwagwa pale Oysterbay police iliibiwa South Africa. yaani ni kama unavyoiona hapo ilikaa palekaribia miez 9 ilipigwa vumbi balaa roho ilikuwa inaniuma kinoma utafikiria yangu. sijui ikaendaga wapi? au sijui kama interpol waliichukua kuirudisha south.
Nasikia mwenyewe alikuja kuichukua.Gari kama hili lenyewe lilikuwa DB12 Aston Martin ilikamatwagwa pale Oysterbay police iliibiwa South Africa. yaani ni kama unavyoiona hapo ilikaa palekaribia miez 9 ilipigwa vumbi balaa roho ilikuwa inaniuma kinoma utafikiria yangu. sijui ikaendaga wapi? au sijui kama interpol waliichukua kuirudisha south.
Hizi gari zingine mtu kuja kumiliki dah! Ni mtihani kweli kweliNasikia mwenyewe alikuja kuichukua.
Yani mzee yule kama mpaka sahivi kuna mtu hayarecognise mafanikio yake basi ana lale jamboIla kajitajidi, ukilinganisha na historia ya maisha yake alipotokea
Kapambana sana yule mtu, japo kama kawaida ya wabongo kuwekeana roho mbayaYani mzee yule kama mpaka sahivi kuna mtu hayarecognise mafanikio yake basi ana lale jambo
Jamaaa ana v8 mbili mkuu
Na hzo escalade mbili
Ni aslilimia chache sana bongo utakuta mtu ana parking valuable zaidi yake
Hizo gari nzuri sana ila hii miundombinu yetu, tunaishia kubaki na gari za juu.
Hela anayo wala hilo sina wasiwasi😂😂😂Na nina sikia mtu wa tandale anashusha kabisa na RR ili wazidi kuponda 😀😀😀
Hii tunaitaga kukaza ubongo 😅 yani kukataana na ukweli ulio dhahiri! Jamaa pesa anayo kwa sasa wala si utani! Huwezi kumiliki Media house ambayo ndio ina market share kubwa ya matangazo kwa sasa halafu ushindwe kununua gari ya million 300! Its ridiculous😅 kwa mtu kupinga! Escalades 2 sio chini ya 500MsYani mzee yule kama mpaka sahivi kuna mtu hayarecognise mafanikio yake basi ana lale jambo
Jamaaa ana v8 mbili mkuu
Na hzo escalade mbili
Ni aslilimia chache sana bongo utakuta mtu ana parking valuable zaidi yake
Watu ni wachawi japo hawatembei na tunguri 😀😀😀😀Hii tunaitaga kukaza ubongo 😅 yani kukataana na ukweli ulio dhahiri! Jamaa pesa anayo kwa sasa wala si utani! Huwezi kumiliki Media house ambayo ndio ina market share kubwa ya matangazo kwa sasa halafu ushindwe kununua gari ya million 300! Its ridiculous😅 kwa mtu kupinga! Escalades 2 sio chini ya 500Ms
Watabinua matako ikiingia double RRWatu ni wachawi japo hawatembei na tunguri 😀😀😀😀
Wanasema gari za bei rahisi😀😀😀Watabinua matako ikiingia double RR
Cate Hotel [emoji23]
Safi sana.. furahia weekend yako mkuu. Leo nimeshindwa kuondoka.
Hahahaha anayesema gari ya bei rahisi anatembelea miguu mwaka wa 30 huu!!! Gari ya million 800 useme bei rahisi si utakuwa mja laana!🤣🤣🤣Wanasema gari za bei rahisi😀😀😀
Kama nilivyosema hayo magari ni very cheap ukinunua used brand new ndio shida. Kama hio Chrysler 300 c nilinunua dola elfu saba, na hio dodge nilinunua dola elfu nane mia tano na ile bmw ilikuwa dola 5000 na zote nikaingiza kwenye 40 feet container zote tatu. maana kutoka marekani huwezi kusafirisha gari ikiwa uchi lazima iwe kwenye container. na kusafirisha container mpaka tanzania dola 5000.Hii tunaitaga kukaza ubongo 😅 yani kukataana na ukweli ulio dhahiri! Jamaa pesa anayo kwa sasa wala si utani! Huwezi kumiliki Media house ambayo ndio ina market share kubwa ya matangazo kwa sasa halafu ushindwe kununua gari ya million 300! Its ridiculous😅 kwa mtu kupinga! Escalades 2 sio chini ya 500Ms
Haya madude yamekaa kitemi, hata barabarani unaona unaendesha gariKama nilivyosema hayo magari ni very cheap ukinunua used brand new ndio shida. Kama hio Chrysler 300 c nilinunua dola elfu saba, na hio dodge nilinunua dola elfu nane mia tano na ile bmw ilikuwa dola 5000 na zote nikaingiza kwenye 40 feet container zote tatu. maana kutoka marekani huwezi kusafirisha gari ikiwa uchi lazima iwe kwenye container. na kusafirisha container mpaka tanzania dola 5000.
Kwahiyo hata hio escallade ukitaka ya 2017 au 2015 bado utainunua hata kwa dola elfu 25 mpaka 35 kwa bei nafuu. kama picha inavoonyesha hapo chini ni ya mwaka 2017. Pia wenzetu kila mwaka unavyoanza wanaacha gari ya mwaka uliopita. yaani gari nyingi barabarani ni za miaka minne au mitano nyuma.
Ila hio ndiga ya 2015 ikifika bongo utaiona kama brand new kumbe ishatumika balaa.
View attachment 1831071