Hahaha mzee wangu anakuambia Kitonga ilikuwa zamani siku hizi ana uwezo hata wa kuendesha pale huku anaongea na simu! Infact watu wengi wanasema Kitonga ilikuwa zamani siku hizi pameboreshwa hata hapatishi sana!Kitonga jina kubwa tu ila hamna ishu.
Nyang'oro tamu aisee... nimeshuka na pikipiki mara mbili, nilifaidi sana.
This time nalala na zile kona na miguu minne mpaka nisikie tairi zikilalama
Hapo nimeshakula cheti saa ya kwenda na kurudi nikajisahau nikala cheti tena.Yaani nikiwa zone ile naenda 30kph halafu mtu ananipita mbio nikimkuta mbele anakula cheti najikuta natabasamu....[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu karibu Sana jukwaani.Chombo kimetulia View attachment 1810801
Mkuu karibu Sana jukwaani.
Vyombo vya sniper!Chombo kimetulia View attachment 1810801
Vyombo vya sniper!
AsantePole mama.
Bado mkuu. Patamu?Ushapanda na kushuka Mombo-Lushoto?
Mimi niko Green City... nimlete Dodoma Jumatano au Alhamisi umpokee?
[emoji5][emoji120][emoji120]Naona dalili za kupiga hii trip pamoja
Njia ya Dom - Moro. Hii sio Dumila lakini, ni kabla ukiwa unatokea Dodoma. Sipajui jina thoughRoad trippers, mwapatambua hapa? Advantage ya private ride ni kukusanya mazaga njianiView attachment 1811001
Njia ya Dom - Moro. Hii sio Dumila lakini, ni kabla ukiwa unatokea Dodoma. Sipajui jina though
Hili soko lipo Gairo?Gairo
Umeshahu kimoja, wana show hatari ajipange [emoji23][emoji23]...kuna ming'oko mingi sana huko mjomba..
Pia napenda Masasi yale mawe makubwa...
Kule mtwara kuna beach nzuri mfano Mikindani na Shangani...
Lakini pia kuna watoto wa Kimakonde, Kiyao na Kimakua....
Kutongoza hawa ni simple sana...mwambie tu unamleta mjini....atajibu .."Baa! Namie naenda njini..?" Hapo tayari umeshajiopolea......
Tunapumzikaga tukiwa tunatafuta hela sisi wahangaikaji. Nikipata mishe huko I'll be sure to visit.Duh! Hamna mfano. One hour kupanda nyoka pambeni ya mlima. It's amazing. Tenga weekend ukapumzike huko Swiss cottage au Muller's lodge
Nimetoka mwaka jana November, mkuu hakufai kabisa, kumekuwa doro kama kipindi cha miaka 2009 kurudi nyumaMtwara nilienda mara ya mwisho ilikuwa 2012 or 2013 kulikuwa kumechangamka balaa. Baadae biashara ya mafuta ikasimama kukawa doro
Kiyegeya pale, soko walilolizindua Prof. Wa Jalalani na Mwendazake, ni road side, Kms kadhaa after Gairo ukiwa waelekea Moro - DarHili soko lipo Gairo?