Duh hadi spare battery, ndio naiona leo hii.
Itakuwa alikutana na majanga huko kabla. Watu wengine unakuta hana hata spare tyre wala wheel spanner.
Tunatofautiana sana.
Nilishapasukiwa tyre njiani baada ya kufunga spare tyre kabla sijafika sehemu naweza kupata nyingine nilikuwa sina raha kabisa maana najiona kabisa namiss kitu.
Kituo kikuu cha police dom ulizia roman catholic cafteria hapo wanauza bei nzuri na utachagua vintage uitakayo inakua kwenye 5lts packages[emoji120]Aisee hebu nipe ramani wine nzuri ya jumla Dodoma inapatikana wapi? I need ya kutosha nikaweke stock home....thanks!
Asante sana kiongozi. Nimekusoma. Thanks a million.Kituo kikuu cha police dom ulizia roman catholic cafteria hapo wanauza bei nzuri na utachagua vintage uitakayo inakua kwenye 5lts packages[emoji120]
Mtu yupo radhi anunue gari bovu mfano rav 4 na mba D kwa bei fulani, na akaacha kununu rav 4 hiyo hiyo namba B lakini nzima kwa bei ile ile..Wabongo wanavyoabudu namba mpya nani atakubali namba ya zamani?
Sikuwahi kulijua hili..Mi nina contact mkuu naweka oda natuma pesa napata dumu zangu. Dry red wine 5L dumu 35,000 na semi sweet white ni 45,000 ambayo ndiyo wengi wanaipenda.
Run flat haihitaji chochote inatembea na pancha Kwa km80 zenye kit za kawaida hazina spare tyre ILA zina jack na spannerHizi inabidi utembee na 12v dc compressor upachike kwenye lighter socket ujaze. Pia unahitaji puncture fixing kit. Utambi, kile kifaa cha kuchomekea, gundi yake na kiwembe.
Mkuu, haiko complicated kiasi hicho.Ni teknolojia mpya, sidhani kama imesambaa sana kwa ufanisi.
Nadhani ungecheki na Dr. Agarwals wapo pale Morocco. Labda wameanza kufanya.
Ni delicate procedure ndo maana binafsi sidhani kama ninaweza mpa mtu jicho langu acheze nalo kiasi hiko.
Yes Sir. Huwa nanunua prepackaged kwenye madumu ya 5L sijui kama wanaoffer packaging nyingineSikuwahi kulijua hili..
Kumbe wine nayo unaweza ukaagiza ujazo uutakao..?
Ya nini mateso makali hayo?Mkuu, haiko complicated kiasi hicho.
Me nilifanyiwa 2 years ago at Lions SightFirst Eye Hospital, Nairobi.
Nilikuwa discharged on the very same day.
The only concern, nadhani ni post operative pain. Usiku mzima sikulala aisee, nililia na utu uzima wangu.
Improvement ilikuwepo kubwa sana, lkn kuna changamoto za kimaisha zilitokea zikaharibu healing process.
Ni muhimu kuwa financially stable(stable kwelikweli) ili uweze kupata muda mrefu wa kupumzika kwa ajili ya recovery.
Gharama zake ni kiasi gani mkuu??Mkuu, haiko complicated kiasi hicho.
Me nilifanyiwa 2 years ago at Lions SightFirst Eye Hospital, Nairobi.
Nilikuwa discharged on the very same day.
The only concern, nadhani ni post operative pain. Usiku mzima sikulala aisee, nililia na utu uzima wangu.
Improvement ilikuwepo kubwa sana, lkn kuna changamoto za kimaisha zilitokea zikaharibu healing process.
Ni muhimu kuwa financially stable(stable kwelikweli) ili uweze kupata muda mrefu wa kupumzika kwa ajili ya recovery.
Bora maumivu kuliko kuvaa na kutengeneza miwani muda wote,Ya nini mateso makali hayo?
Tutavaa sana miwani [emoji851]
Mzee itabidi nikupe assistPaka sasa hivi kwa haraka haraka tokaea January ni zaidi ya 12,000km, kwababu ndani ya mwezi mmoja huwa natembea kati ya 2000km -5000km. Na kuna wakati trip moja tu huwa ninaenda zaidi ya +2000km non stop. Mfano kwa mwezi huu peke yake nimetembea 3,500km .. na leo usiku nakiamsha from Dsm to Tabora then mwanza..
Mwamba ni lijendi kweli 😂😂😂Road trip legend....
Naondoka night, leo mchana mambo yaliingiliana. hapa nimejificha safii mwili upate mapumziko 😎😎😎😎Mzee itabidi nikupe assist
Mimi siwezi tembea safari bila spare tyre maana nishakumbwa sana na shida za kubadili tyres huko nyuma.Tonatofautiana sana mimi kitu pekee nilichonacho ni kidumu cha litres tano tu cha kuwekea petrol,sina spaner yeyote wala spare ya namna yeyote na zaidi ya mwaka sasa sijawahi kupatwa na tatizo lolote ingawa ni hatari sana hii hali
Wakuishi nae huyu 😅😅😅
Muhimu sana mtumishi, chombo ikiamka kituo mkoaniNaondoka night, leo mchana mambo yaliingiliana. hapa nimejificha safii mwili upate mapumziko 😎😎😎😎
Naunga mkono hoja Saint Anne 🙌🙌🙌🙌🙌