Hata usipowasha AC alternator inazunguka. Rpm ikizidi moja hakuna mzigo hapo mzigo unakuwepo gari ikiwa idle ndio maana hata engine revs up. Ukiona unawasha taa gari inabadilika ujue una issue kwenye charging system.Binafsi huwa naamini source ya power kwenye gari huwa generated na engine kupitia mafuta.A/C inapowaka inafanya alternator kufanya kazi,na alternator source yake ya power ni engine,na engine hupata hiyo power kwa kuchoma extra fuel.
Based on researches
-Kuna certain speed wakati unaendesha,gari linakuwa more fuel efficient with A/C on kuliko gari lililofunguliwa vioo at that speed.
*Binafsi nilicho notice kwenye gari, ni kwamba nikiwasha headlights especially full lights mngurumo wa engine hubadilika hasa gari ikiwa kwenye silencer,hii ni indication kwamba load kwenye engine imeongezeka kwa kiasi fulani,And this increased engine load inakuwa compesated na kuongezeka kwa uchomaji kidogo wa mafuta-ingawa naamini ni kwa kiwango kidogo mnoo.
Wamelizwa tayari, mie mwenyewe nimerudi kwa adabu, maana huwa natembea pale hadi 140 😀😀😀.. ila nimerudi na 30 kama zilivyo kwenye vibao vyaoShukurani boss,
mimi ningedakwa maana huwa hiyo barabara naibamiza sana.
Ila siku hizi naona watu wengi wanaendesha 40/50 kwenye hiyo barabara sijui wameshalizwa !!!????
Nakubaliana na hii hoja, nadhani ni kwa sababu soko lake ni kubwa...Kuilinda Toyota nayo ni shida ingine!
inategemea mfuko wa mtu...Hata V8 inafaa kuwa gari ya kwanza..Eti mark x na crown hazifai kuwa gapi ya kwanza!Kwahiyo tuanze na gari gani?
"However, it is commonly known that using air conditioning can increase fuel consumption. How much is fuel consumption affected when you use a car’s air conditioning?Hata usipowasha AC alternator inazunguka. Rpm ikizidi moja hakuna mzigo hapo mzigo unakuwepo gari ikiwa idle ndio maana hata engine revs up. Ukiona unawasha taa gari inabadilika ujue una issue kwenye charging system.
“Above 55mph, it’s better to run the air con as opposed to the extra drag caused by open windows."However, it is commonly known that using air conditioning can increase fuel consumption. How much is fuel consumption affected when you use a car’s air conditioning?
Air conditioning can add up to 10 percent to fuel consumption and is especially apparent at lower speeds"
“If you’re really hung up on fuel economy then around town at low speed, driving with the windows open is an option instead of using the air con – but at higher speeds this will cause so much additional drag that closing the windows and using the air con will be the cheaper option.”
How much more fuel does air conditioning use when driving?
USING air conditioning can reduce fuel economy when driving but how much of an impact does it have?www.express.co.uk
"Hata usipowasha AC alternator inazunguka. Rpm ikizidi moja hakuna mzigo hapo mzigo unakuwepo gari ikiwa idle ndio maana hata engine revs up. Ukiona unawasha taa gari inabadilika ujue una issue kwenye charging system.
Infact nilisahau kuandika neno "zaidi" 🙏🙏Hata usipowasha AC alternator inazunguka. Rpm ikizidi moja hakuna mzigo hapo mzigo unakuwepo gari ikiwa idle ndio maana hata engine revs up. Ukiona unawasha taa gari inabadilika ujue una issue kwenye charging system.
Yatapanda.
Huachagi tipu tipu.. ndio maana
Pole sana, yani jana na leo imeshaongezeka 6000 kwenye full tank yako.
Mimi sipendi, barabara zetu vumbi vingi, na likishazoea ndani kulitoa ni majanga
Haya ma article yote nishayasoma ages ago. Summary yake ni hio mistari miwili hapo. Gari inatumia mafuta zaidi ukiwasha AC ikiwa imesimama ila ikiwa inatembea ni afadhali uwashe AC kuliko kuzima na kufungua madirisha. The rest ni theories za car mechanics“Above 55mph, it’s better to run the air con as opposed to the extra drag caused by open windows.
“It adds car accessories will drain your battery so you should try and limit this to save power for when it’s needed.”
Kama ile case ya kumsingizia Dada wa watu kwamba kakupunja wese kumbe gauge yako yachelewa kuamka 😀 😀Huwa sitoi tips petrol station. Labda kuwe na specific issue.
Kama ile case ya kumsingizia Dada wa watu kwamba kakupunja wese kumbe gauge yako yachelewa kuamka 😀 😀
Dooh, nimechanganya mafaili. Kumradhi Bwana RRONDOIle ili mtokeaga Bavaria, sio Rrondo
Ile ili mtokeaga Bavaria, sio Rrondo
Ilinitokea mimi.Dooh, nimechanganya mafaili. Kumradhi Bwana RRONDO
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app