Okay.Bavaria kwa heshima na kwa niaba ya wadau wote wa road trip naomba utueleze huo mkasa wa jamaa aliekimbia traffic msata akaja kukamatiwa mbezi, alimaliza vipi huo msala na vipi alikua na gari gani? Maana kuna maswali siyapatii majibu.
Tunaomba utusimulie tupate la kujifunza.
Kwanini umkimbie polisi kama huna cha kuficha?! Majanga mengine ya kujitakia tu.Okay.
Tukio lilitokea kipindi kile mambo ya madawa yameshika kasi.
Jamaa ndio mara yake ya kwanza kupiga safari ndefu. Alikuwa ana noah yake anatoka Moshi. Pale Msata kulikuwa na barrier. Pembeni imepaki landcruiser ya polisi.
Akapigwa mkono kwenye barrier, akasogea kama anataka kusimama, akaamsha. Jamaa wakamuungia na gari yao.
Jamaa alikuwa anaendesha kwa woga. Hakuweza kuwapiga gape. Kila uelekeo anaoenda wapo nae.
Morogoro road yote akawa anaenda fresh. Kufika Mbezi mwisho kulikuwa na traffic anaongoza magari yanayotoka Goba. Akasimama wakamnyaka.
Wakamrudisha Msata moja kwa moja kituoni. Hawakutaka story nae. Kesho yake akaandikiwa kosa ya kusafirisha bangi. Alivyoona polisi akakimbia. Akahamishiwa kituo kikubwa Tanga mjini huko.
Wale jamaa hawana story na mtu. Akakaa huko ndani siku 3. Akapigia simu ndugu zake, kuja kuongea na muhusika mkuu, wakaambiwa bila 10M jamaa hatoki. Na hakuna mjadala. Kosa ni kusafirisha magunia ya bangi na amesimamishwa akakimbia.
Ndio ikabidi wajipigepige na kuuza kiwanja chake huko nje ya mji. Wakaja na 8M cash, ndo kumuomba sana mkuu wa kituo ndo jamaa akaachiwa ila akatakiwa arudi kwenye ile barrier awarudishie hela yao ya mafuta. Washkaji wakataka 500K ya mafuta na usumbufu. Ilibidi atoe.
Baada ya hapo mchezo ukaisha.
Kumbe ile barrier wanakagua magendo hasa madawa.
NB: Kuna siku nilikuwa nasafiri usiku kwenda arusha, nikapita pale barrier karibu na kia, nikamuuliza polisi wakasema wao wanakagua magendo hasa madawa, mirungi na bangi. Kuna barrier nyingine ukipita kiwanja cha ndege kisongo kama unaenda kisongo.
Mpaka leo naheshimu sana barrier. Ukiwaletea za kuleta wanakulaza ndani.
Kale ka Barrier ka mbande kana unoko flani.. walisha nichapa mkeka saa saba za usiku.Ila kuna jamaa mmoja wa kwenye Barrier pale Mbande Dodoma aliwahi kunionea..
Kwanza tu wakati nasimama, kaanza kusema breki zako zina piga kelele kwanini..? Akamulika akaona kuna sehem rangi imechubuka kidogo nyuma akasema tena gari yako mbovu hii nakuandikia Faini..
Akasema tena shusha kioo cha nyuma, akawaona jamaa zangu waliokaa nyuma hawajavaa mikanda , akasema hili ndo kosa sasa, nakuandika kosa la mkanda..
Nkaona jamaa atakua anataka ela tu, nampa 5000 anakataa, anakataa anasema nipe ten ndo nkuachie kama hutak nakuandikia halafu anaenda kukaa pembeni
Nkaona huyu atanipotezea muda halafu naenda mbali, nkamwambia andika chap niende, potelea mbali
Kuna cku nilikua kibati balaa mida km ya saa 4 ucku pale kabla ya mlima nyoka aisee nilikuja kuona tochi inamweka mweka karibu kabisa nikapangua gear faster nikasimama jiran kbs na chemli ya pale barrier, jamaa kanisalimu, washa taa za ndan kakagua kizushi kisha kanisihi niende mdg mdg bas nkamkamatisha buku mbil ya gahwa me huyo chombo kwa hewa, hawanaga makuu kabisaWale wa barrier usiku watamu sana aisee, waweza kuwa umetoka zako huko kibatiiii chombo inavumaaa wanakupiga tochi pwaa pwaa pwaa ili usimame, unapoza chombo unasimama ukiwafikia salamu tu washa taa za ndani kukagua kawaida tu kama kuna sehemu kuna kicheche wanakwambia la wanakuasa tu mdo mdo, kibatiiii Mzee. Safari usiku raha sana
Hivi kama wale wazee wa kazi wengine nao wameweka barrier Yao na tochi si unaingia mkenge?! Unawezaje kuwatofautisha kabla hujasimama?!Kuna cku nilikua kibati balaa mida km ya saa 4 ucku pale kabla ya mlima nyoka aisee nilikuja kuona tochi inamweka mweka karibu kabisa nikapangua gear faster nikasimama jiran kbs na chemli ya pale barrier, jamaa kanisalimu, washa taa za ndan kakagua kizushi kisha kanisihi niende mdg mdg bas nkamkamatisha buku mbil ya gahwa me huyo chombo kwa hewa, hawanaga makuu kabisa
Kabla ya kusimama ni ngumu aisee ila wenye njia yao hupiga road patrol pia, so ktk a busy highway ni ngumu kidogo wajomba kuweka barrier na kufanya yao kikamilifu, unless kuna wanayemtarget wakiwa wamemfanyia na perfect timing kabisa. Shud be very briefly pia, chap kwa harakaHivi kama wale wazee wa kazi wengine nao wameweka barrier Yao na tochi si unaingia mkenge?! Unawezaje kuwatofautisha kabla hujasimama?!
Hapo sawa maanake kipindi cha nyuma magari kutekwa tulisikia sana, kipindi hiki sijasikiaKabla ya kusimama ni ngumu aisee ila wenye njia yao hupiga road patrol pia, so ktk a busy highway ni ngumu kidogo wajomba kuweka barrier na kufanya yao kikamilifu, unless kuna wanayemtarget wakiwa wamemfanyia na perfect timing kabisa. Shud be very briefly pia, chap kwa haraka
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Umeongea jambo zito sana. Nahisi zile barrier vituo vyake huwa havibadiriki, ukikuta sehemu kuna barrier ambayo haikuwepo hapo ndio kivumbi sasaHivi kama wale wazee wa kazi wengine nao wameweka barrier Yao na tochi si unaingia mkenge?! Unawezaje kuwatofautisha kabla hujasimama?!
Hiyo ni kwako mwenyeji wa njia na mzoefu wa safari za usiku waweza tambua points zote, mgeni kabisa ama ambaye hajawahi pita usiku anajuaje [emoji848]Umeongea jambo zito sana. Nahisi zile barrier vituo vyake huwa havibadiriki, ukikuta sehemu kuna barrier ambayo haikuwepo hapo ndio kivumbi sasa
Na kweli, nahisi ndio maana pia na wao kujua hizo risk huwa wana gari zao za Patrol usiku.Hiyo ni kwako mwenyeji wa njia na mzoefu wa safari za usiku waweza tambua points zote, mgeni kabisa ama ambaye hajawahi pita usiku anajuaje [emoji848]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Very true.Hiyo ni kwako mwenyeji wa njia na mzoefu wa safari za usiku waweza tambua points zote, mgeni kabisa ama ambaye hajawahi pita usiku anajuaje [emoji848]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Sasa inabidi tuelezane barrier ziko wapi kwenye njia kuu. Tunaotembea mchana sio issue sanaHiyo ni kwako mwenyeji wa njia na mzoefu wa safari za usiku waweza tambua points zote, mgeni kabisa ama ambaye hajawahi pita usiku anajuaje [emoji848]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Wakati ule tukikaa ofisini tunajazana upepo wa kukimbia polisi na yeye akaiga ila aliiga pabaya.Kwanini umkimbie polisi kama huna cha kuficha?! Majanga mengine ya kujitakia tu.
Huko kwenye kujiuliza tyr unakuwa upo kwenye mikono yao sbb unakuwa umeshasimama na hautokuwa na msaada labda wewe usiwe target kwa siku hiyoPoint....vituo vinajulikana, ukiona sehemu ngeni inabidi ujilize.
Na kwa mchana sheria inasemaje kutoka check point moja hadi nyingine?
ukiikuta Barrier mchana au usiku utaijua kwa kusimamishwa chuma la alama V iliyolala tena mawili na kibao chao cha simama au taa usiku au tochi hao ni POLISIPolisi wa barrier wao wanakagua magendo zaidi hasa usiku.
Mengine hawahangaiki na wewe. Hao ni wabaya, usiposimama utakula msala hutaamini.
Ok hizo Barrier za POLISI zinawekwa kwenye maeneo ya Ujambazi wa kutumia magari.Sawa mkuu.nahitaji kujua umbali wa check point moja hadi nyingine ni baada ya km ngapi?