ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
Kama engine yako iko vizuri unawezea tembea siku nzima kwa spidi yoyote. Ukiangalia dashboard kwenye ile gauge ya RPM utaona kuna red zone kule mwishoni. Gari za petrol nyingi red zone inaanzia kwenye 6 na za diesel ni kwenye 4.5. Hii red zone ndio sio ya kukaa mda mrefu, unaistress engine.kwa Chalinze - Moro nakubali km una mashine nzuri dk 75 hazifiki
kuna vibonde na miinuko hasa kule pori toka Mdaula mpaka Mikese pale hata 140-180km/h unakanyaga.
Hapa tusaidiane mafundi, dereva anaposema kakanyaka mafuta hadi speed 180km/h ikasikia injini inazima au kuburst ukweli unatokea wapi?
Mimi niliunguza alternator nikajua ni speed niliyotumia kwani nilikimbia zaidi ya saa nzima nikiwa 120 -140km/h
nilipoenda dukani nikamwambie aniuzia Alternatoe ingine kwani speed niliyotumia sio mchezo, yeye akanicheka akaniambia mzunguko wa injini upo palepale na belt zake ni hii ni kutokona na RPM kinachokimbiza gari ni gearbox na hasa Top gear
unaweza kukuta upo speed 200km/h na RPM ipo 7 na ndio mzunguko wa alternator
ina uunaweza kuwa speed ya 40 km/h RPM 10 (nina maana ya juu kabisa)
nipo tutani nasubiri majibu yenu
Mbona upo karibu sana kama Beki wa ... Mkabaji.Bampa to bampa [emoji2955]
Baridi pia inaleta hasira, ole wake mtu anichomekee [emoji28].
Mbona upo karibu sana kama Beki wa ... Mkabaji.
Teh teh teh... Amakweli. Baridiii wakati mpo ndani ya vyuma aina za SUV's. Nimekubali.Baridi kaliiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Fedha inaongeaga Lugha ya pekeyake na wote tunaelewa. Maninaa!!!Tumefika DVL! Juzi tu tulikuwa DVA
Safety matters Bro, heri uepushe mbawa zako usalimike. 'Kimenuka' so they sayIle road trip ya Kili naanza kusitasita....hali naona si hali
Udereva = Mathematics, ukikosea mahesabu tu umeisha.Sasa huyu nae anaovateki vipi lori kwenye Kona?
Inategemea na chombo ulicho nacho, barabara ilivyo pia. Kama imenyooka na umeisha ona zaidi ya 2 km.. nyeupe haina kitu, hata kama 10.. unazikusanya, ila kama huoni zaidi ya 1 km.. na road ina kona. Ni vyema uwe mpoleHii ndio Overtake inayotakiwa kwa gari zaidi ya 3 mpaka 7 au zaidi za aina tofauti km malori na ndogo.
Unaweza vta mafuta ili kuunganisha ukashtuka mwenzako wa 3 mbele huko naye anachomoka na uwezo hanainabidi ukajifiche kushoto, usubiri tena, ni vizuri kujificha nyuma uki time mmoja mmoja na sio kwenye kona
View attachment 1698881
Brooo ndio umeamua uje unisimange na humu Jf daaah 🥲🥲🥲Juzi alfajiri kijana akitokea Club anakowahi hata sipajui kigizagiza kayumba na kaja kunivaa upande wa site yangu na kunigoganga side ya kushoto, anatoka ndani ya gari ananiomba msamaha eti aliona anatoka nje ya barabara angepinduka akaona bora arudi barabarani ndio mm nikawa breki yake.
Kupeleleza ni Marioo na gari ni ya mwanamke, yeye alichomoka kwenda kulewa, Tukajadiliana na Traffic ikaamuliwa akalitengeneze na mm nizuie hilo lake (la mwanamke wake) mpaka langu lipone.
Ni kweli barabarani ni Mungu tu anasaidia, unaweza fuata Sheria zote bado mlevi akakufuata akijua mnapishana kumbe anakuua
Unapo endesha gari, unatakiwa uwe dereva wa gari tatu. Ya nyuma yako, pembeni yako na mbele yako. Japo sio 100%. Mengine mkono wa shetani unaweza kusudia kukuharibia sikuPole sana. Yaani unaweza kufuata sheria zote akatokea mtu kama huyo akakuvaa. Mbaya zaidi ukifa utaangushiwa lawama zote wewe.
Sasa umesimama kwenye traffic lights wa nyuma mlevi utafanyaje?Unapo endesha gari, unatakiwa uwe dereva wa gari tatu. Ya nyuma yako, pembeni yako na mbele yako. Japo sio 100%. Mengine mkono wa shetani unaweza kusudia kukuharibia siku
Hapo inakuwa haina namna , atakubutua tu. Ndio maana yangu ya kusema ingawa haiwezi kuwa 100%. Vyanzo vya ajari vingi ila tunajaribu kuvi punguza tu kadri tuwezavyo. Ni sawa mie leo almanusa Scania inipasue, ila nikawahi kutoka barabarani, nahisi lili fail, nikaliona hilo .. nyuma yangu..Sasa umesimama kwenye traffic lights wa nyuma mlevi utafanyaje?
Brooo ndio umeamua uje unisimange na humu Jf daaah 🥲🥲🥲
Tatizo pombe Mkuu ulikuwa umebwiya haswa, mpaka suruali haitamaniki ina maana wakati ajali ianakufika ulifikiri upo choo kikubwa ukaona uje upaki kwangu km kigingi wakati breki ungekanyaga tuUnapo endesha gari, unatakiwa uwe dereva wa gari tatu. Ya nyuma yako, pembeni yako na mbele yako. Japo sio 100%. Mengine mkono wa shetani unaweza kusudia kukuharibia siku
Lugha ya isharaFedha inaongeaga Lugha ya pekeyake na wote tunaelewa. Maninaa!!!
Lugha ya "Viashiria".Lugha ya ishara