Niliwahi kutamani kununua Nissan Fuga ila shida ikawa pale kwenye dashboard ina maneno ya kijapan tupu.I felt like he was trying to match ila low end power hana kwahiyo nilipotangulia mimi nikianza overtakes anapotea kwenye side mirror. Anakuwa hana uwezo wa kuimatch overtake yangu na kurudi safely coz ya torque
But kuna stretch nilimtanguliza nimfollow from behind, nikamwacha achochee, tukawa tuna cruise at around 175kmph. It just takes him too long to get there. Am not sure if he was incapable or unwilling of doing more.
Mi navyoona road trips za kibongo bongo the car with the bigger engine / higher torque ( low end power) rules kwasababu you spend a lot of time accelerating to safely complete overtakes and its easier with such engines.
Kuna baadhi ya overtake especially when kuna gari inakuja upande wa pili dereva mwenye injini ndogo hawezi kuthubutu ila chuma ya 3000+cc unazipiga bila wasiwasi na unaimaliza mapema tu unaendelea na safari unamwacha mtegemea turbo nyuma anahangaika kusubiri upenyo wa kuovertake.
Most tech kama forced induction come into play at higher revs lakini huku chini displacement rules.
Kuna quick cars na fast cars. You need a quick car to rule road trips on public highways. You need a fast car to rule race tracks.
Hadi leo hatujaona Rolls Royce.. aliyosema inafanyiwa mpango wa kutoka U.K kuja bongo [emoji3][emoji3][emoji3].. hii sizani kama ataiwezana
Yenye kiingereza hakuna labda uchukue Infiniti sasa from US, left hand drive though. Option nyingine niliona kuna warusi wanabadilisha infotainment yote inakuja ya kiingereza. Its a hardware change.Niliwahi kutamani kununua Nissan Fuga ila shida ikawa pale kwenye dashboard ina maneno ya kijapan tupu.
Sijui kama kuna zenye kingereza.
Hongereni sana kubahatisha ka Autobhan kenu huko. Huku Daresalama jau tu! Mataa kila mahali 😁😁😁Barabara ya Mwanza - Geita pale asubuhi feri ya kwanza kuna bonge la ligi.
Alfajiri magari yanakusanyika... waliotoka Mwanza wanaonenda Geita, Katoro, Chato, Kagera. Yakishajaa yanaingia kwenye feri, ikitia nanga tu fungulia mbwa inaanza - ni kuonyeshana umwamba tu barabarani.
View attachment 1697332
Huku ndio average speed za 100+ kmph zinapatikana
Huku hata kwenye 50 traffic wapo ila hawasimamishi wala hawapigi tochi hata ukipita 130+Hongereni sana kubahatisha ka Autobhan kenu huko. Huku Daresalama jau tu! Mataa kila mahali [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuendesha Dar gari hufaidi KABISAHongereni sana kubahatisha ka Autobhan kenu huko. Huku Daresalama jau tu! Mataa kila mahali [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahah hio kweli offer mzee 😂Huku hata kwenye 50 traffic wapo ila hawasimamishi wala hawapigi tochi hata ukipita 130+
Maybe itakuwa ofa ya mapema asubuhi tu watu wawahi
Yani hilo fungulia mbwa ni bonge la show I believe hata wao wanalifaidiHahahahah hio kweli offer mzee [emoji23]
Dar njia tamu ni ile ya Mbezi Afrikana kwenda Mbweni tu kule ndio hamna uchawi wala mituta! Kuna kipande kizuri sana toka mataa mpaka ununioKuendesha Dar gari hufaidi KABISA
Hapo kila mtu anapamba afike saa 5 kwenye dashboard! Kipande kina urefu gani hicho?Yani hilo fungulia mbwa ni bonge la show I believe hata wao wanalifaidi
Inawezekana part of the reason watu kuendesha kwa vurugu Dar is hawapati muda wa kufungulia speed so inawawasha. Mtu akishakaa 180 for an entire minute highway hamu ya kukimbia kimbia inamwisha anakuwa mstaarabu kwenye city driving.Dar njia tamu ni ile ya Mbezi Afrikana kwenda Mbweni tu kule ndio hamna uchawi wala mituta japo kuna kona kali mahali[emoji16]
Its the only place i enjoyed free runs!
Mpaka Geita (wanapoenda wengi) 60km but free run inaendelea. Tumeenda nayo more than 200km nikafika. Sijui mbele huko kama pana uchawi.Hapo kila mtu anapamba afike saa 5 kwenye dashboard! Kipande kina urefu gani hicho?
Yah kwa Dar unakuta mtu ana gari jipya linamtia genye kweli, hajapiga long trips za kuitoa mafua.Inawezekana part of the reason watu kuendesha kwa vurugu Dar is hawapati muda wa kufungulia speed so inawawasha. Mtu akishakaa 180 for an entire minute highway hamu ya kukimbia kimbia inamwisha anakuwa mstaarabu kwenye city driving.
Just my 2 cents
Na ile flyover aisee pamekuwa heaven usikuYah kwa Dar unakuta mtu ana gari jipya linamtia genye kweli, hajapiga long trips za kuitoa mafua.
Anajikuta anawashwawashwa,,,mi njia nayomaliziaga hasira hizo ni Mlimani city mpaka riverside!
Hahahah 200KM ni mkoa kwa mkoa hio kabisa 😂😂😂!!!Mpaka Geita (wanapoenda wengi) 60km but free run inaendelea. Tumeenda nayo more than 200km nikafika. Sijui mbele huko kama pana uchawi.
Kuna vijiji hapo katikati watu wanatembea pembezoni so unachill kiaina but viko far between. Road quality is good.
Mi niliwapa lift watu wawili wajuzi wa ile njia wanawahi kazini Geita, nikawaambia jamani mi ntatembea wakasema ndio safi wao jukumu lao kunijulisha matuta yanayofuata yalipo na road condition zinazofuata maana ni makonki wa ile road.Hahahah 200KM ni mkoa kwa mkoa hio kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Hapo lazma mtunishiane vifua ila hata mie ningekalisha mapimbi kadhaa. Vanguard ilinifua last time [emoji16][emoji16][emoji16] yule boya alikuwa anaenda 150KPH
Hapo ndipo anapojifichia mjerumani😂😂😂 na kuondosha speed limit sababu ana autobhan! Kwake ujerumani ana barabara za ku support 300KPH+ ndio maana anafyatua gari zenye speedometer kubwa kuliko japan 😁!'Crown ndio top saloon ya Japanese Toyota line. Unafikiri inaweza kwenda sambamba na top ya Germany line?! Mfano top wa Merc au BMW?'
-Top ya Mercedes(S class),ya Bmw 7 series zinashindana na lexus LS na sio toyota Crown
'Mark X wenzie akina 5seriese au A6 unafikiri Mark X inaweza kupambana na 523i au 530i?'
-Mark X 2009(2nd gen/last gen maana mark x zio siioni kama ni mark x ile) engine 2GR-FSE HP 315) vs 2009 523i HP 201,530i 255HP hapo hizo 523i&530 zinakatizia wapi?Hapo Audi A6 2009 3.0T itaenda kupambana na mark x supercharger 2GR-FSE),525i hii nimeendesha na ilikua ya kawaida sana kwny mbio apart from prestige ya badge lkn haikua na maajabu.,pia hio 2gr-fse nimeiendesha ikiwa kwny avalon(UK),528i ilikua inaachwa mbali saana so sioni 530 itafanya miujiza gani hapo.
Ujanja wa mjerumani ni kwny kujaza ma supercharger/turbo lkn kwny natural aspirated engine ni wa kawaida sana/hana miujiza.
Personally nimeobserve hii maneno last week usiku, J5 kuamkia Alhamisi si tukiwa na Subaru Forester XT 2.0 kuna mwamba alikua na Ipsum 2.4Ltr. Tuliburuzana buruzana nae hiki kipande cha kuanzia Sangasanga kuitafuta Doma alipoamua kufanya kazi sasa na kwenda zake daah alipepea mnooo hatukumuona tena, mbali na 'jiko' la chombo 'wehu' flani hivi wa dereva nao una nafasi kubwa kwenye matokeo. Dere wa Toyota Ipsum T...DFG salute kama upo humu nilikubali show yakoI felt like he was trying to match ila low end power hana kwahiyo nilipotangulia mimi nikianza overtakes anapotea kwenye side mirror. Anakuwa hana uwezo wa kuimatch overtake yangu na kurudi safely coz ya torque
But kuna stretch nilimtanguliza nimfollow from behind, nikamwacha achochee, tukawa tuna cruise at around 175kmph. It just takes him too long to get there. Am not sure if he was incapable or unwilling of doing more.
Mi navyoona road trips za kibongo bongo the car with the bigger engine / higher torque ( low end power) rules kwasababu you spend a lot of time accelerating to safely complete overtakes and its easier with such engines.
Kuna baadhi ya overtake especially when kuna gari inakuja upande wa pili dereva mwenye injini ndogo hawezi kuthubutu ila chuma ya 3000+cc unazipiga bila wasiwasi na unaimaliza mapema tu unaendelea na safari unamwacha mtegemea turbo nyuma anahangaika kusubiri upenyo wa kuovertake.
Most tech kama forced induction come into play at higher revs lakini huku chini displacement rules.
Kuna quick cars na fast cars. You need a quick car to rule road trips on public highways. You need a fast car to rule race tracks.
Hii speedlimiter ndio inaudhi ila hio engine ya Fuga inafika 260KPH bila shida. Hahahah Harrier ali risk sana, ile gari kwa ground clearance yake kuvuka 140KPH ni very riskyMi niliwapa lift watu wawili wajuzi wa ile njia wanawahi kazini Geita, nikawaambia jamani mi ntatembea wakasema ndio safi wao jukumu lao kunijulisha matuta yanayofuata yalipo na road condition zinazofuata maana ni makonki wa ile road.
Tatizo hapakuwa na gari ya kutunishiana nayo. Jamaa mmoja alikuwa na harrier nilivyompita akaanza battle akanipita kwenye eneo la kijiji lenye matuta alikuwa anayafuta tu. Niliogopa wanafunzi aisee walikuwa wanatembea pembezoni so nikamuacha aende.
Abiria waliponijulisha bana vijiji vimeisha hapa mguu wako tu, nilimpita na 185 na hakuniona tena [emoji23][emoji23]
Sema wajapani washenzi sana kuweka hii electronic speed limiter kwenye 180. Kile kipande ingekuwa BMW au VW au Merc yenye 260+ angenihenyesha kumwacha kwenye sidemirror na si ajabu ningeachwa mimi