Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,768
- 5,088
Ngoja nikupe mfano wa Germany cars zinazofikia hizo 320km/h&above then utajifunza kitu.Kwahiyo gari zote za ujerumani hazimalizi visahani vya 320kph? Au ni golf tu unaoiongelea?
Ngoja twende pound for pound.
Crown ndio top saloon ya Japanese Toyota line. Unafikiri inaweza kwenda sambamba na top ya Germany line?! Mfano top wa Merc au BMW?
Mark X wenzie akina 5seriese au A6 unafikiri Mark X inaweza kupambana na 523i au 530i?
Mark X au Crown inazisumbua Germany ndogo za cc2000 non-turbo nazo wakikaa kwenye long stretch Crown au Mark X inachemka(been there done that nina cc2000 ya Mjerumani hizo Crown na Mark X labda kwenye traffic light ndio atatangulia ila tupate stretch ya km2-3 namwacha.
Kifupi ukichukua pound for pound stock no mods hakuna mjapana atamsumbua Mjerumani ni vile tu tunafanya comparison zisizo na usawa mfano Crown vs Golf 2.0 ambayo pia ni vita kweli kweli.
Tafuta cc2000 ya Mjapan non turbo ipambanishe na cc2500 ya Mjerumani hata kuiona hata Iona.
Sema si wanasema ni boxer engine kama ya subaru???
Mpaka uitune?Ah mzee aristo si a four door supra?
Ikituneiwa inakua balaa
Hapo ndo tatizoMpaka uitune?
Mtu anakuja na stock. Ndo utajua hujui.
Doh sema sasa hio imsHuo ni muundo tu wa engine kama unavyosema V configuration,Inline.
Ni sawa na kusema engine ya Nissan itakua sawa na engine ya Toyota kwa sababu zote 2 ni V6/V8.,kila ina magonjwa yake ya tofauti tofauti.
Gari harrier?? Old model???
Ni ya ofisi au private ?Mafundi watakuwa wanawaagiza toka nje,ila kwa bongo ni ttzo,nimeshangaa pia kwa wale watu wa pale eagle house kuwa nao wanasukuma Ferrari f12
Mafundi watakuwa wanawaagiza toka nje,ila kwa bongo ni ttzo,nimeshangaa pia kwa wale watu wa pale eagle house kuwa nao wanasukuma Ferrari f12
Ni ya ofisi baada ya kuitaifishaNi ya ofisi au private ?
Hii engine ya 2JZ-GTE huwez kuifanyia modifications alafu ukaiita ni performance based engine, this is technically incorrect, In short si sahihi ku compare porsche 911 and Aristo in any form possible otherwise it's a mere joke.Na ndio maana nasema 2JZ-GTE dunia nzima haijawahi kusifika ikiwa stock maana inatoa only 280hp.
Nadhani Hata huyo aliyeitaja Aristo anajua fika hilo, hapa tunaongelea engine inaweza kua tuned mpk kutoa 2000HP.
TOYOTA's are reliable cars but not performance cars.Tunapoongelea kwamba gari ni performance car hatuangalii tu upande mmoja wa speed,tunaangalia na aspects nyingine za gari.Hii engine ya 2JZ-GTE huwez kuifanyia modifications alafu ukaiita ni performance based engine, this is technically incorrect, In short si sahihi ku compare porsche 911 and Aristo in any form possible otherwise it's a mere joke.
Tukiachilia mambo mengine,umeogelea hii engine 2JZ-GTE inaweza kuwa modified na kufikia 2000HP (even though am not sure of it),Umeshawahi kujiuliza na hiyo engine ya porsche ikiwa modified inafikia HP ngapi?
Noma sana. Anae iendesha basi ana vimba maana ni V12 ile, na ina 730-HP.Ni ya ofisi baada ya kuitaifisha
Ferrari f12Gari gani hii?
Noma sana. Anae iendesha basi ana vimba maana ni V12 ile, na ina 730-HP.
Aah! Hiyo gari ya Mtaliano ni shidaa. Kwanza inaonekana ipo stable na ina nguvu na ina muungurumo wa kibabe sana. Unawatanguliza hadi Moro alafu unawapita na kuwapita tena. Wanakukuta unakunywa chai huku chuma inawasubiriMkuu hii chuma ukiwa nayo..kama barabara ingekua haina matuta na umesafishiwa njia unamtanguliza mtu hadi morogoro kisha unafunguka...hafiki Ruaha ushamkama Dar-Mbeya.
feyzal umeona kama ilikuwa supercar 2012, vuta picha yake barabarani, mtaliano vyombo vyake huwa ni shida sanaSupercar of the year 2012!