Unakuwa mtumwa wa mali yako?Ni ngumu sana kwa mtu wa kawaida kuhojiwa chanzo cha hela wakati ananunua gari unless kuna kitu very alarming,hata kwa public servant ukiona umefatiliwa juwa kuna usnitch kwa wanaokuzunguka ofisin au uraian.Kuna mtu mwingine unakuta kachomewa na mtu ofisin anaulizwa hata Spacio katoa wapi hela ya kununulia-Tanzania ina mambo kwelikweli,kuna jamaa alihamishiwa mkoan akaenda na V8 binafsi ofisin staff mwenzake akamtonya jamaa asije nayo tena mkurugenzi hana hvyo lazima problem zitaanza na kiukweli nasikia jamaa hajawahi enda nayo ofisin tena [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] .Kama ni raia wa kawaida Nunua tu mzee-Kikubwa uwe na money.
Avensis hii!Za huko ziko special kupambana na za wazungu. Upate Camry au Avensis ya UK moto wake balaa
Daah dude lina specs za maana.Nikitoa unazi wa Volvo, balaa ninalolitamani ni Audi RS6 4.0 TFSI V8 Avant Tiptronic quattro ya 2014.
Goma hili lina:
1. 0-62mph in 3.9 seconds
2. Top speed 155 mph
3. Cylinder 8, Valves 32
4. Engine power ni 552bhp
5. Engine torque ni 516 lbs/ft
Hivi bongo lipo hili gari?
Daah acha niendelee kunywa mtori nyama nitazikuta chini tu.Nilichanganya zipo hadi za km 30,000+ ila bei zake si haba
View attachment 1688515View attachment 1688517
Tutafute pesa tu 😀😀😀Daah acha niendelee kunywa mtori nyama nitazikuta chini tu.
Kwa kuanzia hapo huwezi kuta ana chini £ 2 million +Huwa nilikutana na mashine kama hizo najiuliza kama kaweza kununua gari £200,000 au 3 yeye ana kiasi gani ?!
Hahah fresh tu,atleast nitapata supu.Kauli ya mnyonge.....nyama zilishachukuliwa chini hamna kitu!
Mtoto wa Upanga
... 🎆
Hata sijui, gari litakapoelekea huko huko
Yes hizo ni mph - almost 260kph. Hii ni petrolYeah na hizo 160 ni MPH. Kuna moja jamaa yangu mmoja alikuwa nayo ya Diesel balaa
Yeah na hizo 160 ni MPH. Kuna moja jamaa yangu mmoja alikuwa nayo ya Diesel balaa
Hili goma noma! Hili ni sleeper kwa akina Ferrari na LamboDaah dude lina specs za maana.
Mimi naitamani GT-R hata ya 2008 ni poa tu.
Duh nakimbia 21k nina wiki tatu za kurudi kwenye formK: Na wewe je...!!!!
R: Mimi naitwa dabo R ....! aka mtoto wa mama Nanayakara bin Bataringaya 😜
K: 😂😂😂😂 tuma salamu
R: Natuma salamu kwa Taibali na Colin na Kamcho na Amina kiuno 😅
K: 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Ila sijasahau nakudai mabungo yangu ....
R: 🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️
K: Nakufata hukohuko 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️ See you @Kilimarathon2021😋
Duh nakimbia 21k nina wiki tatu za kurudi kwenye form