Wewe ni mtu na nusu, huwa unanikosha kwa ucheshi wako.
Saa nyingine mtu anaugusa moyo tu kwa mwandiko🤣🤣
Wewe ni mtu wa maana sana, Mungu akutunze huko uliko mamy
Lushoto vipi msimu huu?
Ni kweli kabisaa. Hilo eneo ni hatari mno unaweza kunasa wakati hakuna maji. Wanasema unaitwa bubu kwasababu maji yake huwa yanakuja kimya kimya tu. Hakuna daraja.Oooh sawa, mto bubu huwa ni hatari sana wakati wa masika, magari huishia kila upande na watu kuvushwa mgongoni...je deraja limejengwa?
Ni mto hatari sana, uliwahi kutesa watu sana kipindi cha Elnino.Ni kweli kabisaa. Hilo eneo ni hatari mno unaweza kunasa wakati hakuna maji. Wanasema unaitwa bubu kwasababu maji yake huwa yanakuja kimya kimya tu. Hakuna daraja.
😄😄
Ninazielewa sana hizi chuma ukiipiga resi inatoa mlio flani hiviZilikua na models tofauti.
View attachment 3125338
Angalia ground clearence yake, utasema ni SUV, chuma inapita SUV inapopita😂...
Tatizo Nissan alikuwa hana option diesel sijui kama atajirekebisha kwenye toleo hiliNISSAN kamfuata huko huko juu Toyota 🔥🔥🔥
View attachment 3138778
Ni mulemule petrol ila kapunguza ukubwa ni 3.5 v6, tatz lingine miguu ya nyuma kaweka independent axle kama gari za wazungu, ile chuma inapendeza iendelee na solid/rigid axleTatizo Nissan alikuwa hana option diesel sijui kama atajirekebisha kwenye toleo hili
Kubwa na option ya Diesel ni muhimu kwenye gari ya masafa. It is the best option for long distance driving. Sijui wanalenga market gani na petrol only.Ni mulemule petrol ila kapunguza ukubwa ni 3.5 v6, tatz lingine miguu ya nyuma kaweka independent axle kama gari za wazungu, ile chuma inapendeza iendelee na solid/rigid axle
Last diesel engine kwenye Nissan ilikuwa ni TD42 na Zd30Kubwa na option ya Diesel ni muhimu kwenye gari ya masafa. It is the best option for long distance driving. Sijui wanalenga market gani na petrol only.
Pia hajaleta toleo la diesel bado, sema design wise amemchapa TOYOTA LC300 both inside and outside. I wish Lexus LX600 ange update interior ikawa kama ya hio Nissan tu.Tatizo Nissan alikuwa hana option diesel sijui kama atajirekebisha kwenye toleo hili
Petrol only ni fun ride sema target ni kwa warabu, wanazikubali sana Patrols warabu wa Dubai.Kubwa na option ya Diesel ni muhimu kwenye gari ya masafa. It is the best option for long distance driving. Sijui wanalenga market gani na petrol only.
Katoa DieselTatizo Nissan alikuwa hana option diesel sijui kama atajirekebisha kwenye toleo hili
Mkifika Lushoto let me know, nipo huku milimaniBaba Bataringaya, well sikuwa nimeiweka Lushoto kwenye rada safari hii ila hadi November 20th ntakuwa nshajua kama safari ipo ama laah.
By the way you are missed and the junior Bataringaya is missed too.
Please give my hugs and kisses from auntie Kasie.
Mnakaribishwa sana niwapeleke Irente view, ingawa mvua zishaanzaLushoto vipi msimu huu?