Halafu hili la mkuu
RRONDO kuendesha gari ndani ya highways zetu bila ya kupigwa mkono, sijui anafanikisha vipi, binafsi siwezi, nilijaribu kuendesha morogoro (200km),na kutumia zaidi ya 4hrs still nililiwa kichwa ×2,ndio maana binafsi ni usiku tu, unaondoka tunduma at 14:00hrs, by 18:00 upo Jacaranda city ,kutoka hapo giza limeingia ni kutafuta tanker moja Lina set pace