Wazee wa riddim...!!!

Wazee wa riddim...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
Salam wakuu,
Katika mziki unaonipa comfort na peace of mind ni mziki aina ya riddim au sweet reggae. Ngoma kama comfort zone ya busy signal, wakali wakina morgan heritage, tittus riley, etc hua wanakonga sana moyo wangu. Na pia riddim mix kama ya country bus na nyinginezo pia hua nazielewa sana. Kwa wale wadau wa tasnia hii hebu tupia ngoma unazozikubali za riddim tuweze kushare pamoja.
Salute,
Lucchese Don.
 
Mr nazikubal riddim mixing zinazomixiwa na ma dj wa kenya eg.. Dj lyta na wale jamaa wa supremacy sounds

Kwa upande wa msanii wa riddim namkubal sana KONSHENS
Ana ngoma gn kali mkuu niShushe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom