Wazee wa programing, nisaidieni hili swali

Wazee wa programing, nisaidieni hili swali

mkuu, rudi pitia ' placeholders'
juu ume declare service_record as 'int'
alafu line ya 11 , umeiscan as 'float'

badili iyo %f kua %d, kwenye line ya 11, na ubishi uache maana wewe ndio unaitaji msaada mkuu!
Sijakuelewa, nimeirun kama hapo inavoonekana imekubali
 
Sijakuelewa, nimeirun kama hapo inavoonekana imekubali
Imekubali kwa bahati mbaya/nzuri lakini code haiko sawa. Service record ni integer lakini unapokea float kutoka kwa mtumiaji.
 
Back
Top Bottom