Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Tz iache kujitathmini kijesh kwa kutumia historia ya kushinda vita vya kagera. There was internal & external factors that led to Tanzania's victory. Kwa malawi naona ni tofauti. Tujitathmin vizuri vinginevyo tunaweza aibika. (ni vema huu mgogoro umalizwe ka diplomasia)

Malawi hawatakubali kidiplomasia kutuachia ziwa, labda tuende mahakamani au tulinde ziwa upande wetu maisha yaendeleeeAcheni uoga! Kwani Malawi wana nini cha kututisha? Diplomacy has failed na wao naona wanafikiria kwa kutumia MaCCM, sasa tufanyeje?
Hatutaki vita kwasababu tutasaidia manyangau wa US na Ulaya kuuza silaha...ila kingne ni kwamba morali ya jeshi letu ni questionable na Mtu wa kuwahamasisha wapiganie nchi yao simuoni katika ufisadi huu....nadhani kitu cha msingi ni mazungmzo basi...wakigoma basi tuwahujumu
tuwahujumu kivipi mkuu? fafanua kidogo
Kidhungu hiki kinamaanisha wadhee wa nyatha?.. Ngoja nikanunue kamuthi ya kidhungu!" We threw Amini out and he ended up dying in exile in Saudi Arabia. Does this grand-daughter of (Kamuzu) Banda (President Joyce Banda) want us to do the same to her?" http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/9416-elders-rap-malawi-over-border-claims
Mkuu nimeweka tafsiri isiyorasmiKidhungu hiki kinamaanisha wadhee wa nyatha?.. Ngoja nikanunue kamuthi ya kidhungu!
kweli mkuu.yaani kila naisi hawa jamaa watachukua ziwa letu mchana kweupeeee. maana maneno ya JK-ilaza yalionyesha hata hajui kwa nini watanzania tunatetea ziwa letu , kweli mungu saidia, dhaifu asigawe nchi yetu
kweli mkuu.
Tukibalia kwenye story za wazee kama zilie za Simba na Yanga mara "Maji ni ya Mwenyezi Mungu" na mengineyo tunapoteza kipande cha nchi yetu.
Enzi za Mwalimu kumshinda Iddi Amin ni tofauti na sasa ambapo waziri halali wa Mambo ya Ndani ya Nchi 'anadandia' maandamano ya waandishi wa habari kisha wanamzomea na kuondokam kichwa chini, hili lisingewezekana wakati wa Mwalimu.
Kwa bahati mbaya mno rekodi zetu za kimataifa in legal arguments zimeonekana kuwa mbaya mpaka kufikia mahali pa kutaka kuilipa kampuni ya DOWANS ambayo raisi amekiri hadharani kuwa haijui!!!! Kwa maana hiyo kesi ikienda huko wote tutasubiria maamuzi na endapo hayatatufavor ....nini kitafuata?
Hatutaki vita kwasababu tutasaidia manyangau wa US na Ulaya kuuza silaha...ila kingne ni kwamba morali ya jeshi letu ni questionable na Mtu wa kuwahamasisha wapiganie nchi yao simuoni katika ufisadi huu....nadhani kitu cha msingi ni mazungmzo basi...wakigoma basi tuwahujumu
Ni kweli mkuu kama suala litapelekwa ICJ ni lazima tutapoteza maana Wabongo hatuko makini.Tutumie njia za kidiplomasia zaidi. Ikishindikana tujiandae kwa vita.