Hivi ndivyo ilivyo kuwa kuna siku moja nikiwa kwenye ofisi moja ya serikali. Nikiwa napiga story na mama mmoja ambaye yupo kwenye kikundi cha kufatilia watu wenye virusi vya UKIMWI wakati napiga nae story akasema kwamba Wakati yupo kwenye harakati zake za kufatilia watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI akakutana na dada mmoja mwenye umri wa miaka 19 akaamuuliza historia ya kupata hilo tatizo lake akaanza kumsimulia.
Kuwa kipindi anasoma Akiwa form 2 Siku moja akiwa anatoka likizo kutoka kwenye shule moja ya boarding toka mkoa A kwenda mkoa B. Basi sasa akiwa njiani kwenye bus akakutana na mzee mmoja wa kula tunda kimasihara ndipo walipo anza kupiga story za hapa na pale za kupunguza urefu wa Safari kwa kuwa safari ilikuwa ndefu basi bus lilipaswa lisimame vituo vingi.
Sasa basi hii ilikuwa fursa kwa mzee wa kula tunda kwa masihara akaanza kutengeneza mazoea na yule binti na kuanza kumnunulia vitu ikiwamo kugharamia misosi njiani basi walipofika mkoa mmoja Mzee akamshawishi binti kuwa basi tupumzike hapa siku tatu kisha tutaendelea na safari yule binti akakubali bwana. Hilo ndio kosa analolijutia hadi leo yule binti basi pale ikawa fursa kwa mzee wa kula tunda kwa masihara kwa kuwa goalkeeper kaacha goli Mzee hakufanya makosa akajilia tunda ndani ya siku tatu zote tena dry.
Siku zikaendaa binti akasahau kuwa kauza mechi tena kwa timu kongwe, sasa kipindi binti anaendelea na maisha yale akaanza Kuumwa ghafla.
Basi wazazi wakati wanamtibu mtoto wao kila wakimtibu mtoto bado anakuwa dhaifu Wakaamua kumpima Ile kitu Asalale. Hapo ndio kilio na majuto ya yule Binti yalipoanzia baada ya kukutwa umenasia. Ndipo akaanza kukumbuka ile siku ya kimasihara na kuendelea na majuto na kutomshawishi mzee kutumia ndomu.
Ila binti mpaka sasa kashakubaliana na hali anameza dozi amenawili maisha yanaenda. Wazee wenye umeme kusambaza kwa makusudi sio dili.