Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,103
- 9,591
Hanscana ame-share mkeka wake alioliwa jana baada ya timu moja kuchana. Uzuri mkeka huu aliupost kabla ya mechi.
Una maoni gani?
Una maoni gani?
Hiyo ya PSG win either half bado ni option ngumu...kwa mtazamo Wangu walau angeomba goli moja kwa mechi nzima.Ila alijitahid sana kuchagua option za uhakika lakin bado kikamramba
Ukitaka kujua hawa jamaa(kampuni za betting) haziwezekani we weka tu hela kubwa utajua hujui
Hadi mitaj ya watu mnaijua?Kawaida tu
Mbona huwa anakula parefu?
Alafu ana mtaji huyo mkubwa zaidi ya hizo alizopoteza
NdioHadi mitaj ya watu mnaijua?
Kuliko aweke hiyo option unayosema bora angeachana kabisa na hiyo match.Hiyo ya PSG win either half bado ni option ngumu...kwa mtazamo Wangu walau angeomba goli moja kwa mechi nzima.
Hao wenzenu matapeli wanakula na kampuni za betting hapo anapiga PR ili wapumbavu kama nyinyi muendelee kumtajirisha muhindiJamaa anastake 9m odds 4 anapata 36+ m halafu mnaona 7.5m ni hela nyingi...😀😀😀
Hata sativa na Taivina nina wasiwasi naoHao wenzenu matapeli wanakula na kampuni za betting hapo anapiga PR ili wapumbavu kama nyinyi muendelee kumtajirisha muhindi
Sikupingi unaweza ukawa sahihi au usiwe, nimewahi kubeti na bado naendelea japo najua black and white kuchana kupo ila waogope higher-stakers mzee return yake moja ni mishahara yako ya 3 years hapo ngusero primary schoolHao wenzenu matapeli wanakula na kampuni za betting hapo anapiga PR ili wapumbavu kama nyinyi muendelee kumtajirisha muhindi
Bongo wapumbavu hawaishi na watu wa nje wameona hiyo fursaHata sativa na Taivina nina wasiwasi nao
Ndo maana wa china wanakamatwa na billions 6 kwa akil kama hziSikupingi unaweza ukawa sahihi au usiwe, nimewahi kubeti na bado naendelea japo najua black and white kuchana kupo ila waogope higher-stakers mzee return yake moja ni mishahara yako ya 3 years hapo ngusero primary school
Yeah.Hao wenzenu matapeli wanakula na kampuni za betting hapo anapiga PR ili wapumbavu kama nyinyi muendelee kumtajirisha muhindi