Wazee wa EAC Wanatia huruma...

Hawa wazee waliteswa na Nyerere toka ujana wao, inasemekana fedha zilikuja na Malkia wa Uingereza alisaidia walipwe (wakati wa Nyerere) zikatiwa ndani. Semeni.

Huyu Nyenyere kafanya dhulma kubwa sana ktk nchi hii....Kawafanya wabongo vilaza, katutia umasikini....
 
Nyerere alikuwa hajui "Justice delayed is justice denied"?
 
Naskia bi kidude ambaye ni mzee mwenzao amefariki,,,,,,,
 

Asante kwa kuthibitisha kuwa Nyerere ndie aliepokea "fedha toka kwa malkia" ila akawadhulumu wastaafu!
 
Hivi hii laana Kikwete ataiweka wapi!

Halafu mbona Msafiri ana wazulumu waislamu wenzake!? Kina Ritz hawaioni hii laana?! Au hawa wanao piga rakaa hapa hasa huyo mzee mwenye kombati analiwakilisha kanisa?!

Sent from mouddymtoi BlackBerry 8520 using JamiiForums software.
 
Nyerere alikuwa hajui "Justice delayed is justice denied"?

Kwa mujibu wa taarifa uliyoileta wewe mwenyewe hapa ukumbini fedha zililetwa FY 1986/1987, rais wa wakati huo alikuwa Nyerere? Asante kwa kuthibitisha kwa vitendo uzoba wako!
 
Zomba is a chronic hater, defending himself on the Mwalimu Nyerere decisions...actuall he hates Nyerere personally, and this will burn Zomba forever.
 
Whom to blame? when did those people lost their jobs? if the answer is, during Nyerere's dictatorship, why did he not settle with them? why? why? why?

Who is to blame? me? you? Kikwete? themselves? the courts? Mkapa? Mwinyi?

Think!



Mkuu kama huo ndio ushauri mnaompatia mh Rais mtakuwa mnapotosha. Serikali ni taasisi sio mtu. Taasisi hiyo ipo siku zote japo viongozi wake wanapita. Hoja ya msingi hapa ni uhalalivwa malipo kwa wazee wa EAC. Kama ni halali yao kulipwa, serikali inawajibika kuwalipa. Kujificha nyuma ya kivuli cha nyerere ni kukwepa wajibu. Tukifuata mtiririko wa hoja yako, basi tuseme kwamba kikwete hawajibiki kwa mfano kujenga bara bara eti kisa nyerere hakujenga. If that is the case, why is he the president.
 
Ina maana pesa ililetwa wakaizungusha kwenye deal zao na account zao duu.....
 

Sasa kama pesa zilipokelewa na BOT 1986/87 Nyerere anahusikaje? je ni yeye alikua rais kipindi hicho?
 
Hawa wazee waliteswa na Nyerere toka ujana wao, inasemekana fedha zilikuja na Malkia wa Uingereza alisaidia walipwe (wakati wa Nyerere) zikatiwa ndani. Semeni.

Tena basi niliona malipo ambayo yalipaswa kulipwa kwa hawa wazee mtu mmoja alionesha akulipwa 80,000 pounds, lakini !! MMMhhhhh! tusiseme sana ! kweli Nyerere sijui pesa ile yote aliipeleka wapi! yaani niliacha mdomo wazi ! jamani dhulma hazitupeleki kokote hizi ardhi itatubana siku ya kufa!
 
Fedha za wastaafu wa EAC zilipwe na malkia! Kama hujui jambo si unauliza tu? EAC ilikuwa na pension fund yake, unajua mgawanyo wa mali na madeni ya jumuiya hiyo ulifanyika lini?

Nina wasiwasi hujui unalolisema ! kama sio Malkia kumbe nani? hatutaki kusema mengi
 
Sasa kama pesa zilipokelewa na BOT 1986/87 Nyerere anahusikaje? je ni yeye alikua rais kipindi hicho?

Naona hujaelewa unachokisoma sawasawa, soma ii. Fata na links nilizoweka, utapata picha pana.
 

Mkuu Zomba sasa kama hapo pa Blue ndo uhalisia then mbona umekomaa kuwa Nyerere ndo angelipa..........and you persist that the followers are not responsible while they are of the same Govt????


What is not happening in the way you argue today..........???????

Hii serikali na iwalipe wazee wa watu jamani hata dhuluma pia ina wakati wake si wakati wa pumzi za mwisho kama hawa wazee wa watu...
 

Soma kifungu cha ii huko juu.

Hapo unaongelea topic mbili tofauti.

1) Unaongelea malipo ya kuachishwa kazi (terminal benefits) wafanyakazi wa EAC ilipovunjika, wenzetu wamelipwa toka 1977, Nyerere alikuwa wapi?

b) Unaongelea issue ya pension fund ambayo ilikuwa ni majibu kwa mmoja aliye raise hiyo issue, na hiyo hutolewa kila mwaka kama sheria ya pension ilivyo, kama sheria yao ilikuwa mfanya kazi afike miaka 55 (mwaka 1986/87) hawezi kulipwa akiwa na miaka 46 mwaka 77, lakini hiyo haimzuii kulipwa terminal benefits zake mwaka 1977 kama wenzake wa Kenya.

Sijui umenielewa au bado hujaelewa? hili ni jibu pia kwa andate na Mtoboasiri
 
Last edited by a moderator:


Clarific; so mustakabali wao so to speak kafa nao Nyerere????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…