JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
View attachment 49582 wazee waichoka ccm arumeru wanabebwa na mafuso wakati viongozi wao wako kwenye ma vx na land cruiser
hivi vx inaweza kubeba watu wangapi ukiilinganisha na fuso? utahitaji vx ngapi kubeba watu ambao wanaweza kubebwa na fuso moja??
Kweli kabisaHivi ni kwanini CCM haipendwi na vijana tena wasomi hata siowasomi. KUITETEA ccM UNAHITAJI UWE NA AKILI ZA MAITI
nyiinyi wabebeni kwenye helikopta yenu
"Fuata Nzi....."hivi vx inaweza kubeba watu wangapi ukiilinganisha na fuso? utahitaji vx ngapi kubeba watu ambao wanaweza kubebwa na fuso moja??