Wazee wakisema ukweli kwamba chama chao kinaporomoka kuelekea kaburini Nape anawabeza kwa kusema "ccm bado iko imara na itatawala milele". Ngoja washuhudie anguko la chama chao kwani ni wao waliokirithisha chama kwa mafisadi na manyang'au
wazee kama nani! WBM,RUKHSA....au? Si ndo hao hao! Ushawahi panda choroko ukavuna mtama?Wataalamu tusaidie wazee wasipate presha kutokana na ccm kuporomoka
hawa wakipewa pilau nyama kuku na mia mbili ya kahawa na kashata wanaenda diamond na kujiita wazee wa dar!