wazee nao ??????

wazee nao ??????

victa

Member
Joined
May 2, 2013
Posts
5
Reaction score
0
bibi mmoja alikuwa kibogoyo, ck 1 akapita sehem moja palipokuwa na mkutano wa injili .
akamsikia mhubiri akisema;
siku ya mwisho ni kilio na kusaga meno. yule mzee alisikika akifurahi sana kwa kuwa alikuwa hana meno.
 
nafkir kutakuwa na adhab mbadala au vp wadau? teh teh teh teh teh.....!
 
Back
Top Bottom