Mzee baba wajibika na matendo yako.
Wenzako wote hua tunawajibika na matendo yetu, hua hatuji kuanzisha nyuzi humu.
Pampers za Sleepy zinakaa 80 ni 27,000 wipes 4,500. Mahindi, ulezi, karanga nusu, nusu, robo 4,200.
Lactogen kopo 17,000, Nido 11,000.
Nguo za watoto za hadhi ya kawaida haizidi 5000 moja.
Unga wa Lishe 2,500.
Hizi ni gharama za kuja kuanzisha uzi?