bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
Ushauri wenu na matusi ruksa
Nje ya ndoa ipi?? Umeoa??
Hapo kuna mawili.
1. Uleee(anaweza kuja kumiliki Acacia yake)
2. Mtoe mimba(usiniulize kama naafiki ila wengi wanafanya hivi.
Halafu wewe jamaa unanyota za watoto hongera kuna watu miaka 4 wanahangaika kutafuta katoto hata ka kusingiziwa.
Daah!!!umemchanganulia vizuri tuMzee baba wajibika na matendo yako.
Wenzako wote hua tunawajibika na matendo yetu, hua hatuji kuanzisha nyuzi humu.
Pampers za Sleepy zinakaa 80 ni 27,000 wipes 4,500. Mahindi, ulezi, karanga nusu, nusu, robo 4,200.
Lactogen kopo 17,000, Nido 11,000.
Nguo za watoto za hadhi ya kawaida haizidi 5000 moja.
Unga wa Lishe 2,500.
Hizi ni gharama za kuja kuanzisha uzi?
DahMzee baba wajibika na matendo yako.
Wenzako wote hua tunawajibika na matendo yetu, hua hatuji kuanzisha nyuzi humu.
Pampers za Sleepy zinakaa 80 ni 27,000 wipes 4,500. Mahindi, ulezi, karanga nusu, nusu, robo 4,200.
Lactogen kopo 17,000, Nido 11,000.
Nguo za watoto za hadhi ya kawaida haizidi 5000 moja.
Unga wa Lishe 2,500.
Hizi ni gharama za kuja kuanzisha uzi?
Mama ake si atanilaumu sana maana sikuwa na mipango nayeShukuru Mungu kwa kupata mtoto, haijalishi amepatikana katika mazingira gani, ni mwanao mjiandae kumpokea
Ahahaha dahUctoe lea tu c unapenda kugegeda c bora ungepiga puli