Wazee Mkuranga watoa wito Wanafunzi wanaopata Mimba wachapwe viboko 12 baada ya siku 40 Tokea Kujifungia

Viboko 12 ni vichache,kuanzia darasa la kwanza hadi form 2 au 3 mwanafunzi anakuwa amekula zaidi ya mboko 800 hawezi kutishwa na tuviboko 12.
Wafanye 12 kwa siku 40.
As if sina dada.
 
Waweza kukuta wazee hao ndio wanaohusika kwa kuwapa mimba ...matumizi ya bangi hayajawahi kumuacha mtu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…