Download manager wandugu, i've never been a fan of torrents kabisa. The only thing natumia torrent for ni kushusha Cracked softwares i can't find a download link for, and some pirated music albums, some books etc. Mainly stuff i cant find direct link for. Ila movies, nahw way. Why should i download a 720p quality movie on torrent with 3Gigs huku naweza kupata 1080p yenye 1Gig or less kwa Download manager? So ndo maana hua nashangaa wanaotumia torrent najiuliza like i'm i missing something here.
Siri ni mkongo wa Taifa Mwanangu halafu umwone njuwa wamavoko hapo juu au unipm mimi akuunganishe
Asante mkuu, hiyo sotware ndiyo IDM au ni DM kama ilivyo?
Inategemea na uko wapi na umri wako, siri nyingine za kikubwa utaambiwa uchanje AMEX.
Depending on where you are, kuna online services kibao za kuondokana kwenye chupri zinazoweza kukugharimu zaidi.
Yaani kipofu kaona mwezi! Hapo nyuma kuna Hangover III, We are the millers, Killer Elite, Now you see me, This is the end na white house down Halafu zote ni HD 720
Ka weekend katakuwa poa sana!!!
Mambo yetu yalee........ ya Mzee Paje
Duh, watu wana download movies kwenye torrents bado tu?
muulize zile 1tera hd ambazo watu wengi tunazo ziliundwa ili ku store nini?miongoni mwa matumizi.Hamna jipya nyie wabeba box! Kutazama movie online is the waste of time, qulity poor and it is expensive
Eti kujaza hard disk zikijaa si na delete!!
Torrent una download movie unaendelea na shughuli yako u watch at your own convenience
Wabongo wengi mafafa utamaduni, halafu kesho mtakuja na longolongo kibao kulia wasanii wanaibiwa mambo ya copyright, kutukana sana wahindi na kulia viongozi mafisadi.
Kumbe ufisadi ni passtime. Hata kitoto kinachozaliwa leo kinakuwa inculcated na ufisadi.
Over.
Download manager wandugu, i've never been a fan of torrents kabisa. The only thing natumia torrent for ni kushusha Cracked softwares i can't find a download link for, and some pirated music albums, some books etc. Mainly stuff i cant find direct link for. Ila movies, nahw way. Why should i download a 720p quality movie on torrent with 3Gigs huku naweza kupata 1080p yenye 1Gig or less kwa Download manager? So ndo maana hua nashangaa wanaotumia torrent najiuliza like i'm i missing something here.
Wabongo wengi mafafa utamaduni, halafu kesho mtakuja na longolongo kibao kulia wasanii wanaibiwa mambo ya copyright, kutukana sana wahindi na kulia viongozi mafisadi.
Kumbe ufisadi ni passtime. Hata kitoto kinachozaliwa leo kinakuwa inculcated na ufisadi.
Over.
Mkuu kwanini ushangae kutumia torrent kwa movies wakati huo unaitumia kwa softwares?
Tofauti kubwa hasa ni nini mimi nikitumia torrent client kushusha movie na wewe ukitumia IDM?
Kubali kataa torrent ndio sehemu pekee ambayo ni rahisi kupata movies kuliko huko unakukuamini mimi na ndio maana ukikosa direct link unarudi kwa mzazi TORRENT
personally, torrents hua ni last resort when i really can't find a direct link for things. Kwanza, good stuff kunakua na countless leeches, huku wanao upload wachache kwa hiyo speeds kwa torrents hua ni shitty most of the times, actually sometimes kunakua hamna seeders kabisa na torrent hiyo inakua ni worthless. Pili ni size, movie 720p unakuta 3Gigs, WTF is that. series minimum unakuta maybe 10-20Gigs huku unaweza kupata same quality at a smaller size! Tukipewa challenge hapa maybe wote tudownload lets say ELYSIUM movie wewe utumie torrents na mimi nitumie IDM wote kwa ISP mmoja, I'll always win maana using torrents lazima uta over use resources, 'Ain't no body got time for dat'. Yet again I'm lazy so I'll always find the easiest root to my goal na torrent kila nikitumia slows me down.
Hapo kwenye Red kuwa makini na hiyo kitu maana kuna watu wamepigwa Bann sababu ni Copyrighted material kwenye torrent emu soma hapa
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...sers-avoid-your-accounts-being-suspended.html
whoo, that's crazy. Actually thank you for bringing this up, Paul S.S hii pia disadvantage ingine ya torrent, na pia you do not know what you're downloading mpaka umalize by then its too late!
What is your point?
Torrent haijaanzishwa na wabongo! and it is legal in some country like Tz and canada