Wazazi wenzangu msaada somo la Kiingereza

Wazazi wenzangu msaada somo la Kiingereza

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,738
Leo nimepitia mitihani ya binti yangu wa darasa la Saba, ( siko nyumbani muda mrefu) nimekuta somo la kiigereza hakuna, na kameniambia hatujafundishwa... sasa kabla ya kunza kuwaka nikaona ni busara kupita huku kwanza , je ni kweli somo hili halifundishwi tena au haka kamama kananicheza shere hapa!! maana wakati akisoma chekechea kalikua safi kweli ila sasa naona kimombo kinakapiga chenga sana, kibaya zaidi hata mtihani sijauona!!


asante sana
 
nashukuru sana kwa michango yenu
 
Back
Top Bottom