Kuchaguliwa mke na wazazi naona kwa upande wangu hapana,dada zangu wa3 na kaka zangu wote walichaguliwa wake na wengine waume na wengine walioana mama mkubwa na mama mdogo,mtoto wa mjomba kwa shangazi, nilisoma mengi wakati wanapogombana mke na mume ilifikia mpaka mtu na dada yake hawaongei sababu kila mmoja ana tete mwanawe,
mm nilisema sitoolewa na mume ndugu,na mwenyezi mungu amenijaalia na wakubwa zangu wengine wameoa wake wengine zaidi wengine wameachana,kwa fikra zangu nahisi bora mtu wanje mara 100 kuliko wandani wanje mtabanana lakini wandani
zogo ungomvi kwenye family na uhasama...
Kuna kitu huwa wengi kuwa tunajidanganya... Eti "Mapenzi ni ya watu wawili" huwa sijui vigezo vya imani hii ni ipi.
Ndoa mnaoana wewe na huyo mwenza wako pamoja na familia nzima. Familia ina nafasi kubwa sana katika furaha, imani na amani ya ndoa tegemeana na circumstances zenyewe.
AshaDii said:Faida ya kukubali mama kukuchagulia mke hi hizi:-
Kwa nyakati zao ilikuwa sawa kutembea, maana maisha yao yalikuwa marefu, leo hii mimi nitembee hali maisha yenyewe ni mafupi! kadala atazijua mishe mishe za A town? Haya wakija rafiki zangu Baba V, Vin Diesel, The Boss na tajiri wangu AshaDii, akija Mrembo by Nature au mwaJ wakabonga ung'eng'e si watakuwa wameniachia zogo hapo home! Halafu najua gap la uelewa wa mambo kati yangu na kadala niliyechaguliwa na mama yangu ni kubwa sana, atumia kwa inferiority complex na pengine anaweza kupata Depression kabisa. Vinginevyo wadau wasije nyumbani kwangu
Hoja yako nzuri sana,ila watu wameelewa upande mmoja.Wana JF,
Katika thread hii https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/412151-kinachodumisha-mapenzi-hiki-hapa-2.html, Mchangiaji mmoja kwa jina la Mzabzab amesema kitu ambacho kimenifanya nitafakari sana. Alichangia hivi;
...wewe mama mzazi ata siku moja hawezi kumtakia mwanae mabaya. ndio maana anakutafutia wakawaida anajua hao wazuri tabu tupu..."
Mi nadhani mambo ya kuchaguliwa mke yamepitwa na wakati, lakini kwa hoja ya kwamba ndoa inadumu, na kwamba wazazi hawawezi kumpatia mtoto kitu kibaya, nalazimika kukubaliana nae. Siku hizi, mahusiano yanaaza kwa sms, na kuvunjikia kwenye sma. Angalabhu zamani kulikuwa na vibarua kwa mwandiko wa mwanaume au mwanamke wakijibizana, zikiambatana na maua mazuri! Sasa leo ni email na sms, hata mwandiko wa mkeo mtu huuoni wa kukandikia barua. Unapata email tu! Ndo maana ndoa zinakuwa na mashaka. Ndo maana mke akipewa zawadi ya kiwanja na mme akijenga lazima utasikia kejeri kwa mwanamke! Ndo maana wanawake hawa hawapendi wakwe zao kwakuogopa kukosolewa mara kwa mara! Ndo maana hawa tuliowachaguwa sisi kwa sms, au tulipokutana kwenye daladala la Mbagala-G'mboto, au ile ya Kunduchi -Posta, tukabadilishana simu zetu, usiku huohuo eti "Nakuwaza nashindwa kulala". Mmh!
Ndoa hazi zinakuwa hazina reference point yakudumu. Maana iwapo wazazi wamehusika, mtu utafanya reference hapo, hata kama ni barua, ikiwa mmeudhiana, unachukua barua za mwenzako zenye maua yale unaanza kutafakari. Je wanawake wangapi wanawaandikia waume zao barua wakachora ua nzuri lile ili kumfurahisha mmewe? Hawapo! Sana sana eti wananunua kadi! pumbaf kabisa!
Ndo maana nalazimika kukubaliana na Mzabzab kwamba akheri mke wa kuchaguliwa na wazazi!
Asalaam aleikum.
BIG UP AshaDii!
Halafu, huyo mwanamke atakuwa karibu sana na mamamkwe na hivyo itapunguza uwezekano wa kuhitilafiana kati ya hawa wawili...U have
Kwanza hiyo ni ngumu kwa siku hizi hujanioa unanipeleka kwenu tena kwa siku kadhaa.kaka achana na mwanamke anaweza fika huko akawa mwanakondoo mpole mchapa kazi anaweka alam saa kumi na moja anaamka na kujifanyisha kazi zote za ndani by saa moja chai mezani anafua hadi nguo za wakwe kama kuna kieneo atajilimisha hadi bustani sasa muoe huone ndio utajua picha halisi.Hoja yako nzuri sana,ila watu wameelewa upande mmoja.
Kwanza tuongee ukweli sio wazazi wote wapo kijijini now days,wengi
wapo mjini,Municipal,City.
Pia labda niseme hivi kweli sio vema kuchaguliwa,Kuna mtazamo mwingine yaani,kama umempenda mwanamke,mpeleke kwa wazazi akakae hata 2 weeks,ktk likizo yake,hapo halafu waulize wazazi hivi mmemuonaje huyu mchumba/mwanamke?niliwahi kuongea na wazazi wote mjini na kijijini,wote walisema hivi:
Ukitaka kujua tabia ya mwanamke unaetaka kumuoa mpeleke kwenu akakae 2 weeks hivi,halafu majibu utapata.
Yafuatayo yanaweza kujitokeza:
watakuambia walioyaona kama anawahi vipi kuamka na kusaidia wazazi wako?sio kulima city,manicipal hakuna kulima hadithi tu hizo.
2.Watakuambia tabia yake and in the future ambayo wewe kwa macho yako ya tamaa ngumu kuona.
3.Na mengine mengi ya ziada,unajua wanawake wanajuana sana,pia wazazi wa kiume wanajua hilo kwa uzoefu.
Watu tunawapeleka nyumbani baada ya kuoa sasa unategemea ushauriwe nini?.nyumbani sio lazima pawe kijijini.Maisha yao hayana tofauti na yetu labda tuwe tunaishi angani,au ulaya lakini hapa hapa tz,tena city au municipal,hakuna diffference ya kusema wao wameishi zamani,Principle za upendo hazibadiliki,thats why bible ni ya zamani bt bado inaleta ladha ya kisasa.
PIA,Hapo ndo jicho la wazazi yanapokuwa 3 zaidi ya tuonavyo sisi,na huo ndo upande au mtu kusema anachaguliwa mke.
Nawakilisha.....
Wana JF,
Mi nadhani mambo ya kuchaguliwa mke yamepitwa na wakati, lakini kwa hoja ya kwamba ndoa inadumu, na kwamba wazazi hawawezi kumpatia mtoto kitu kibaya, nalazimika kukubaliana nae
Hawakuangalia vizuri wapi?! Lini?! Nyendo za wazee na vijana siku hizi ni tofauti kabisa....in most cases, we're moving towards different direction!! Huyu anaenda kushoto, yule anaenda kulia! Sasa hapo mzazi atafahamu vipi tabia za msichana ambae hafahamu nyendo zake zaidi tu ya kumuona pale mtaani na full maheshima ya kuigiza?! Wazazi wanadanganyika na vitu vidogo sana....akitoka kazini na begi lake mkono na binti akamkimbilia na kumpokea; tayari.....the binti anakuwa branded kwamba ana heshima ile mbaya!Yawezekana wazazi hawakuangalia vizuri na yawezekana pia ni bahati mbaya tu! Pole sana
Kuna kitu huwa wengi kuwa tunajidanganya... Eti "Mapenzi ni ya watu wawili" huwa sijui vigezo vya imani hii ni ipi.
Ndoa mnaoana wewe na huyo mwenza wako pamoja na familia nzima. Familia ina nafasi kubwa sana katika furaha, imani na amani ya ndoa tegemeana na circumstances zenyewe.
Faida ya kukubali mama kukuchagulia mke hi hizi:-
- Utaepuka sana kuwekwa kati na wanawake hao muhimu kuliko wote katika maisha yako... Mara mkeo mkiwa chumbani baada ya faragha - kuanza kulalama juu ya mamako huyo. Au ukienda kwa mama kulalamika juu ya mkeo.
- Heshima ya mkeo juu ya mamako kuwa juu kwa kutambua kuwa yupo responsible kwa yeye kuwa pale... Wanawake wengi hekima na busara imewashinda saana juu ya kufanya mashindano na mamamkwe... Husahau kabisa kuwa huyo mi mzaa chema, na kuwa nafasi ya kuwa mwanamke anaye tawala maisha ya mtoto wake ni kitu ambacho yeye (mamamkwe) kama mwanadamu lazima imuume. Hivyo huenda ndani ya ndoa huku kaajianda kabisa kuwa kuna vita dhidi ya mamamkwe juu ya mtoto wake.
- Uwezekano wa kupata mke mwema... Sababu hadi mamako a suggest ina maana kamuangalia binti, kaangalia familia pamoja na tabia zao za namna ya kuishi na watu.
Yaani wadau wasije kwangu kisa kadala?? Halafu uje ukute wadau wenyewe ndo wale wafanyabiashara wenzangu... SI UTATENGWA, na nikishatengwa nitakosa mavumba and hence kadala ataanza kunywa mvinyo na walationo kwa kisigino na wenye mapigo kwa vile wanazo.Kwa nyakati zao ilikuwa sawa kutembea, maana maisha yao yalikuwa marefu, leo hii mimi nitembee hali maisha yenyewe ni mafupi! kadala atazijua mishe mishe za A town? Haya wakija rafiki zangu Baba V, Vin Diesel, The Boss na tajiri wangu AshaDii, akija Mrembo by Nature au mwaJ wakabonga ung'eng'e si watakuwa wameniachia zogo hapo home! Halafu najua gap la uelewa wa mambo kati yangu na kadala niliyechaguliwa na mama yangu ni kubwa sana, atumia kwa inferiority complex na pengine anaweza kupata Depression kabisa. Vinginevyo wadau wasije nyumbani kwangu
Halafu ukute sasa mama mkwe mwenyewe yupo MATOMONDO huko songea vijijini, na wewe unaishi na kadala huko A-town. Ugomvi na mama mkwe anaufanyia kwenye simu wakati ugomvi wako wewe na yeye ni LIVE AND DIRECT, upi mkali..? Maana huu wa simu unahusisha gharama (VOCHA) wakati wa kwako ni kuonana tu kunatosha. MONA UTAKIMBIA HOME? USHAONA MTU ANATOKA HOME SAA 10 ALFAJIRI NA ANARUDI SAA SABA USIKU? Sehemu ya kinachosababisha hilo ni ugomvi... Kama ukijichagulia mwenyewe kuna kauvumilivu kanaongezeka kuliko ukichaguliwahapa kuna jambo sielewi
ebu pima haya mawili
ugomvi wa mume na mke
na ugomvi wa mke na mamamkwe
kati ya magomvi haya mawili ni upi ugomvi mkubwa?
then plus umechaguliwa mke ambayo you dont feel her
halafu hagombani na mamamkwe lakini kila siku anagombana na wewe kuanzia chumbani mpaka sebuleni, barabarani mpaka shopping.
Kwanza hiyo ni ngumu kwa siku hizi hujanioa unanipeleka kwenu tena kwa siku kadhaa.kaka achana na mwanamke anaweza fika huko akawa mwanakondoo mpole mchapa kazi anaweka alam saa kumi na moja anaamka na kujifanyisha kazi zote za ndani by saa moja chai mezani anafua hadi nguo za wakwe kama kuna kieneo atajilimisha hadi bustani sasa muoe huone ndio utajua picha halisi.
Mimi naona wazazi sio kipimo tosha cha kujua huyu ni mke sahihi au laa, kijana jipange sababu ya huodari wa kazi za nyumbani sio kipimo cha kujua huyu ni mke mwema
hapa kuna jambo sielewi
ebu pima haya mawili
ugomvi wa mume na mke
na ugomvi wa mke na mamamkwe
kati ya magomvi haya mawili ni upi ugomvi mkubwa?
then plus umechaguliwa mke ambayo you dont feel her
halafu hagombani na mamamkwe lakini kila siku anagombana na wewe kuanzia chumbani mpaka sebuleni, barabarani mpaka shopping.
Unajua kuna watu wanafikiri wazazi wetu ni wazamanisanaa,hivi leo hii mimi nikiwa na miaka mfano 50,mtoto wangu aje aniambie nisimshauri kitu kisha nimepitwa na wakati?eti sielewi mambo ya wakati huo yanavyokwenda,DUUUU,Hakuna cha kuzani wala kukubaliana....COMPLETELY LIMEPITWA NA WAKATI! Labda kwa vijijini sijui, lakini sio mijini!! WHY? Siku hizi ni tofauti kabisa na zamani. I guess zamani mama anaweza kumfahamu binti kwavile anafahamu nyendo za huyo binti from A-Z simply because nyendo zenyewe zilihusisha tu kwenda kisimani kuteka maji, kwenda shambani kulima, kwenda kukata kuni na mambo kama hayo! Sehemu zote, mara nyingi wasichana wanakuwa na wakubwa wao!
Leo ni tofauti sana....mitikasi ipo mingi kufuru!! Mama atakuwa anamfahamu binti kwavile anavyomuona tu hapo mtaani! Mama wala hafahamu binti huyo hufanya nini anapokuwa nje ya kitaa! Mama haendi disco, binti anaenda....mimi naenda! So, hapo utaona mie nina nafasi kubwa ya kumfahamu binti kuliko mama yangu simply because mwote anamopita binti nami napita!
Ni very common kwa wasichana unakuta anaondoka home amevaa kiheshima ile mbaya lakini ana kibegi chako begani! Akishatoka tu home, mbele ya safari anayavua mavazi ya heshima aliyotoka nayo nyumbani na kuvaa vichupi! Haya mama hawezi kuyafahamu, lakini kijana atayafahamu tu!
Kuna mabinti wengine wengi tu, kwenye Offline life ni very decent.....jaribu kutembelea kwenye page zao za social network website like facebook! Unakuta binti yule yule the most decent in offline life, ukiingia online unakuta katupia picha za ajabu za ajabu! Mambo kama haya katu mama hawezi kuyafahamu lakini mimi nitayafahamu tu!
Mifano ipo mengi na katu haiwezi kwisha ambayo yote hiyo itathibitisa tu ni jinsi mom's role to find fiancee for her boy is no longer material!