[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Sisi wanadamu ni waajabu sana
Hapo Evelyn Salt unataka huyu bwana adanganye ili tu atoe maneno ya kinafiki
Huyu bwana katoa proper assessment ya baba yake kwa hali halisi aliyo experience yeye kwa huyu mtu na hawezi danganya
Wewe unataka kumjaza hofu adanganye ili kufurahisha jamii wakati ni uongo na unafiki
Tujifunze kuspeak our minds truthfully bila kudanganya na bila kujali wanaosikiliza watajisikiaje
Na wasikilizaji wajue wanasikiliza true assessment za muongeaji na kukimbilia waambiwe unafiki ili wajisikie vizuri
Muacheni aaongee ukweli bila aibu au kudanganya
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16]Okay sawa....
Ha ha ha haMkuu
Wanadamu wote sio sawa
Baba wote sio wana akili kama unavyodhani
Infact wababa asilimia kubwa ni wapumbavu kama wapumbavu wengine duniani hapa
Huyu bwana katoa proper assessment aliyo experience na huyo baba yake
According to him,huyo baba didnt do a great job in raising them..na yeye katoa truth
Hili ni kweli kabisaSasa unakuta dingi yeye ni ubabe tu kwa mtoto hakuna cha upendo wala amani mwishowe mtoto anakuwa kibaka au jambazi kabisa fuatilia familia za vibaka na wale wadada wanaojiuza utagundua shida kubwa sana kwenye malezi ambapo chanzo ni wazazi.
Si ndo hapo....mzazi asietimiza majukumu yake huyo sio mzaziTujadili mada sio mtoa mada.
Kama mzazi ni jingajinga,lilevi,limalaya liitwe hivyohivvyo) maana ndio tabia yake aliyojichagulia.
Ukweli uzungumzwe sio kupambapamba watu hapa.
Ku
Kumbe unataka definitions ya kila neno analoongea mwanadamu wakati unasahau definitions do not matter,kinacho matter ni context
Hii ni dalili ya stress,kuropoka ropoka.Definitions keep them in your own butt,hapa tunataka context
Unsfiki upi??Na unaelewa exactly what my context is tatizo unafiki umekujaa na uongo,who care
Embu tumia kiswahili,acha ulimbukeni.Kuandika si kuongea?
Au umekariri only audible speaking umesahau kuna internal inaudible speaking?
Wapo watu wa ajabu kama nyinyi mnapeleka mpaka akili huko.Nani kakudanganya chooni hua yanaenda mavi tu?
Mpumbavu ni baba yako,ambaye pamoja na kumwona mjinga bado anajivunia wewe.Kuna mkojo,maji,makamasi,matapishi,shahawa za masterbators kama wewe,blood,etc
Mambo chungu nzima....
Broaden your thinking acha hizi short cuts za kipumbavu
Unaendeleza uovu upi wakati umeshakomaa na sasa unajitegemea!!!au una wadogo zako wa 12yrs nao umewaacha naye??Ndio....una tatizo na hilo?
Kama una tatizo too bad for you
You are not qualified kua na tatizo nalo maana huwajui na wala hujawahi kaa under their administration when ukiwa mtoto....
On the other side,mimi nipo qualified kusema hayo maana Im exactly part of that for 18 years....I'm qualified to feel and talk the way I did about them
Mzazi asilaumiwe kwa sababu gani?
Kama alifanya matendo mabaya kwa victims asilaumiwe kivipi yaani?
Sijaona hoja yako kwanini mzazi asilaumiwe iwapo aliumiza watoto?Na mtoto ana haki ya kutoa assessment ya kweli kuhusu wazazi wake walichomfanyia alipokua mdogo,ukimnyamazisha still unaendeleza uonevu
Ni kisheria sio kijamii.Nikiwa na 0-18 nilikua mali ya wazazi wangu....nao 18 and up ni mali yangu binafsi,sasa mzazi anahusika vipi na mimi kuanzia nilipokua 18 mpaka sasa?Hana uhusika wowote kisheria
Wala sikatai.Mtoto chini ya miaka 18 kisheria hatakiwi ajitegemee....
Huyu anayemwita mzazi wake mjinga si ni kwa sababu hii!!!!Kama wazazi mpo na mkalazimisha mtoto wa miaka 5 ajitegemee,wote mnashikwa na kufunguliwa mashitaka na kufungwa
Ukatili wa watoto hauhusiani kabisa na kile mtu anaongea au kuandika.Haiwezekani mmezaa mtoto kwa ngono zenu binafsi halafu mtupe huyo mtoto
Hii thinking yako inaonesha kabisa wewe ni katili kwa watoto na one day you will do that
Siamini hivi,kama ambavyo naamini wewe umekua ni haki yako na mzazi wako kuhudumiwa nawewe,au ni maamuzi???Morally ubongo wako unaamini mtoto kuzaliwa na kuishi ni preveledge na sio haki yake,yaani ni msaada unampa huyo mtoto
Nimekwambia huu ni mtizamo tu,hapa tz sababu ya shule watu wako chini ya wazazi mpaka wanafikisha miaka 27,kwanini wasiwaachie tu maana sheria haiwabani!!!!Hii thinking ni ya kiuaji na wewe unaona ni sahihi
Yaani utombane huko,mumlete mtoto duniani halafu still uone mtoto huyo hana haki ya kutunzwa kama mwanadamu mpaka afikishe 18 years ajitegemee ni thinking next devilism
Tembea uone.umefungwa sana na mazoea.mtoto wa miaka 0-18 anahitaji kuachiwa mtaji wa biashara tangu lini?
Sijui ni kweli uko marekani au huwa ni kick tu,but huko ndiko kuna binaadam ambao wanaanza maisha hata wakiwa 15.Hivi wewe mzima kichwani kweli?
Mtoto 0-18 kisheria hana hata uwezi wa kuingia contractual obligation popote,umpatie mtaji aende nao wapi wewe maiti?
.Mtoto 0-18 anahitaji matunzo na upendo kama mwanadamu,baada ya hapo muache,haitaji chochote kutoka kwako na wala sio lazima umpatie chochote thereafter
Wewe ni bingwa wa kuropoka ila point huwa ni za ku extract kwa formular maalumu.Kuhusu mitaji and other blah blah inaelekea hujui lolote kama mwanadamu kwenye hii dunia
Still una matatizo
Hasira zinatoka wapi kama akili za utafutaji ziko sawa!!!kuna watu hustoria mbaya zimewafanya kuwa na nguvu ya kutafuta.Mtu anatoa assessment ya hao wazazi tangu alipokua 0-18 sio sasa hivi nipo above 18
Huoni difference ya hivi vipindi?
Watu wana hasira na wazazi wao walichowafanyia walipokua 0-18 sio leo wewe,use your brain
Sasa hivi everything is entirely on them kama adults na sio wazazi
Ni maajabu unapoleta hoja eti kwamba chochote wanachofanya hawa watu kwenye maisha yao ukubwani ni wazazi wamefanya ni partly false
Wyatt huwa hakosei..Mmmmmmhmn kuna ukweli mzito hapa .....
😂😂😂😂 Huu uzi sio, naweza jikuta na mie ni mama mjinga
Amezungumza ukweli mzito sana.Wyatt huwa hakosei..
Ni mzee wa fact...yaan ule unafiki nafiki wa kibongo tupa kule[emoji23]
Yah ni kama vile nimeelewa 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16]
Umeelewa lakini
Mkuu wewe upo very smart upstairs, huyo unayejibizana naye ningekuwa Mimi ningem ignore tuu, hawa ndo wale waswahili waliolishwa maneno kwamba mzazi hakosei, alafu wana msemo wao wa pili kwamba mzazi ni Mungu wa pili sasa hapo hawezi kukuelewa maana amekariri hivyo japokuwa umeeleza facts with vivid examples.Ku
Kumbe unataka definitions ya kila neno analoongea mwanadamu wakati unasahau definitions do not matter,kinacho matter ni context
Definitions keep them in your own butt,hapa tunataka context
Na unaelewa exactly what my context is tatizo unafiki umekujaa na uongo,who cares
Kuandika si kuongea?
Au umekariri only audible speaking umesahau kuna internal inaudible speaking?
Nani kakudanganya chooni hua yanaenda mavi tu?
Kuna mkojo,maji,makamasi,matapishi,shahawa za masterbators kama wewe,blood,etc
Mambo chungu nzima....
Broaden your thinking acha hizi short cuts za kipumbavu
Ndio....una tatizo na hilo?
Kama una tatizo too bad for you
You are not qualified kua na tatizo nalo maana huwajui na wala hujawahi kaa under their administration when ukiwa mtoto....
On the other side,mimi nipo qualified kusema hayo maana Im exactly part of that for 18 years....I'm qualified to feel and talk the way I did about them
Mzazi asilaumiwe kwa sababu gani?
Kama alifanya matendo mabaya kwa victims asilaumiwe kivipi yaani?
Sijaona hoja yako kwanini mzazi asilaumiwe iwapo aliumiza watoto?Na mtoto ana haki ya kutoa assessment ya kweli kuhusu wazazi wake walichomfanyia alipokua mdogo,ukimnyamazisha still unaendeleza uonevu
Nikiwa na 0-18 nilikua mali ya wazazi wangu....nao 18 and up ni mali yangu binafsi,sasa mzazi anahusika vipi na mimi kuanzia nilipokua 18 mpaka sasa?Hana uhusika wowote kisheria
Mtoto chini ya miaka 18 kisheria hatakiwi ajitegemee....
Kama wazazi mpo na mkalazimisha mtoto wa miaka 5 ajitegemee,wote mnashikwa na kufunguliwa mashitaka na kufungwa
Haiwezekani mmezaa mtoto kwa ngono zenu binafsi halafu mtupe huyo mtoto
Hii thinking yako inaonesha kabisa wewe ni katili kwa watoto na one day you will do that
Morally ubongo wako unaamini mtoto kuzaliwa na kuishi ni preveledge na sio haki yake,yaani ni msaada unampa huyo mtoto
Hii thinking ni ya kiuaji na wewe unaona ni sahihi
Yaani utombane huko,mumlete mtoto duniani halafu still uone mtoto huyo hana haki ya kutunzwa kama mwanadamu mpaka afikishe 18 years ajitegemee ni thinking next devilism
mtoto wa miaka 0-18 anahitaji kuachiwa mtaji wa biashara tangu lini?
Hivi wewe mzima kichwani kweli?
Mtoto 0-18 kisheria hana hata uwezi wa kuingia contractual obligation popote,umpatie mtaji aende nao wapi wewe maiti?
Mtoto 0-18 anahitaji matunzo na upendo kama mwanadamu,baada ya hapo muache,haitaji chochote kutoka kwako na wala sio lazima umpatie chochote thereafter
Kuhusu mitaji and other blah blah inaelekea hujui lolote kama mwanadamu kwenye hii dunia
Still una matatizo
Mtu anatoa assessment ya hao wazazi tangu alipokua 0-18 sio sasa hivi nipo above 18
Huoni difference ya hivi vipindi?
Watu wana hasira na wazazi wao walichowafanyia walipokua 0-18 sio leo wewe,use your brain
Sasa hivi everything is entirely on them kama adults na sio wazazi
Ni maajabu unapoleta hoja eti kwamba chochote wanachofanya hawa watu kwenye maisha yao ukubwani ni wazazi wamefanya ni partly false
wengine wanoko wana kimbia na watoto hasa ukimjali sana mtoto.Si ndo hapo....mzazi asietimiza majukumu yake huyo sio mzazi
Mmmh hii kaliwengine wanoko wana kimbia na watoto hasa ukimjali sana mtoto.
Na kutaka asome anaona wivu!! Atakuvunja moyo kwa kula ada au kuomba hela zaidi ili ukate tamaa!!
Wivu wa kina mama kuona baba atapendwa zaidi
Eeh ndiwoo ...unafiki uuweke pembeni[emoji16][emoji16][emoji16]Yah ni kama vile nimeelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huu uzi sio, naweza jikuta na mie ni mama mjinga
Nawewe una baba mjinga mkuu??Mkuu wewe upo very smart upstairs, huyo unayejibizana naye ningekuwa Mimi ningem ignore tuu, hawa ndo wale waswahili waliolishwa maneno kwamba mzazi hakosei, alafu wana msemo wao wa pili kwamba mzazi ni Mungu wa pili sasa hapo hawezi kukuelewa maana amekariri hivyo japokuwa umeeleza facts with vivid examples.
Jawabu gani unataka??Kitu umeishia kutokosa jawabu umeishia kutoa maoni na kubatiza eti ni kuropoka
Ulimbukeni sio wwe kuzungumza kiingereza,bali kuchanganya kiingereza na kiswahili.embu chagua moja.Toa majawabu
Unafiki ni huu unaounesha hapa
Wewe kutokujua Kingereza ni tatizo lako binafsi
Usitulazimishe tufate Kiswahili ambapo infact bado hukijui sawasawa
Sasa kuona watu wanazungumza lugha unayotamani sana uijue zaidi yako unaishia kuita eti ni ulimbukeni inaeleza how miserable you are than us
Hujui Kingereza ni wewe,usiite wanaojua eti malimbukeni sababu tu wanakijua zaidi yako
Fix yourself
Kwahiyo tukubaliane baadhi yenu ni trauma inawafanya muandike haya,au kuita wazazi wenu wajinga.hapa nimekuelewa sawa sawa.Mzazi anaemuacha mtoto wa miaka 5 ajitegemee sio mjinga tu ni "muuaji" hafai yeye kuishi,ni wa kuuawa
Ujinga ni understatement!
Mtoto aliefanyiwa ukatili amebeba trauma za tangu utotoni zinaathiri anavyoongea na kufikiri ukubwani
Wataalamu ndio wanakwambia uite baba yako mjinga!!!!Wewe kusema hakuna mahusiano ya uonevu wa mtoto udogoni na ukubwani kwake unabishana na neuro scientists na psychologists,hatuwezi kukuamini wewe usiejua lolote tukawaacha hawa wataalamu
Nimekuuliza wewe baada ya kutimiza miaa 18,kumhudumia baba yako ni wajibu wako au mtizamo???kwa jibu lolote hapo eleza ni kwanini.Ni haki ya mtoto kwa lazima mzazi amuhudumie kwa lazima na sio maamuzi binafsi ya mzazi
Baba yako angekuwa hana uwezo wakukulea usingemwita mjinga,ni wazi alikuwa na uwezo wa aina yeyeote kukusaidia lakini alipuuza labda.Ni lazima
Ungekua unajua huwezi hudumia mtoto usingetombana ukamleta duniani
Uongo upi??unajua umasaini mtu anahesabika timamu miaka mingapi??Kisheria ni miaka 18,kuendelea kumhudumia ni maamuzi binafsi ila legally sio binding.
Tembea uone kitu cha uongo?
Sio kigezo kwamba hayuko timamu kuendesha hayo,ni sheria ndio inasema.unajua kaka mvurana wa miaka 14 anaweza jaza mimba mwanamke??kwahiyo sheria inasimamia tu haitafsiri kila kitu.Mtoto alie chini ya miaka 18 haruhusiwi kusaini popote,atawezaje kuingia mikataba ya biashara na kufungua account ya kampuni ya biashara wakati sio contractual acceptable legal aged?
Kuropoka ni kutoa neno lisilohusiana na eneo au mada husika.Labda mtaji wa kuuza malimao au dagaa au genge lisilohitaji hata leseni
Anachoongea mtu halafu hukipendi unakiita kuropoka
Rejea tafsiri ya kuropoka hapo juu.Sorry sana,kila nachoongea hapa tofauti na mawazo yako definitely ni kuropoka,sasa kuna merit gani and who actually cares ukiita kuropoka maana ni maoni binafsi kama mimi navyoona unaropoka the same way!
Tafuta pesa mkuu,utajua kwanini nimeandika hayo.Trauma inaangalia una pesa kiasi gani au umefanikiwa kiasi gani?
Nonsense ni hizi kuita baba yako mjinga.Do you know maana ya childhood trauma?
Hujui
You are just talking nonsense hapa!
Fact...waambie ukweli sasa uone vitisho vyao vya kukuachia radhi,wazazi wa kiswahili NI UZUNI [emoji17][emoji17][emoji17]Wazazi ni watu muhimu sana kwani wao ndio chanzo cha watoto ambao ndo utajiri wa Mungu, lakini haimaanishi kwamba kila wasemacho, wafanyacho na waamuacho ni sawa kwa sababu hua wana tabia ya kuamulia vitu watoto hao ambapo ni jambo zuri ila endapo amuzi ni sahihi.
Malezi ya mtoto huonyesha picha ya maisha yake ya baadae hivyo namna ya makuzi ya wazazi walio wengi kwasasa inaonesha madhara yake ambapo vijana wanalalamika hakuna ajira, hili ni kosa kwani wazazi wanatukuza kwa mtiririko au series ya maisha ambayo ndo inapelekea hali hii.
Wazazi walio wengi huwaambia watoto wao wasome, wafaulu vizuri, watafute ajira kwa maana nyingine huwafundisha watoto cha kufikiria na sio namna ya kufikiria ambapo hili ndo jambo la msingi ambalo litsaidia kujikwamua kiuchumi.
Tukufundishwa namna ya kufikiria ndio itakua rahisi kuweza kaweka katika vitendo yanayofundishwa mashuleni kwa mfano wanafunzi wa masomo ya sayansi wanafundishwa kuhusu umeme lakini unakuta shule yao ina matatizo ya upungufu wa umeme Jambo ambalo ni la aibu kubwa.
Wazazi wakiweza kufundisha watoto wao namna ya kufikira, kusikiliza maoni yao na kuonesha kujali katika jambo lolote dogo analofanya mtoto hata kutengeneza gari la bokilsi na kutampa mtoto ari ya kufikiria kitu kingine na kutengeneza kitu kingine tena na hapo sasa maendeleo ya kiuchumi ma teknolojia yatakua nje nje.
Wazazi ni watu muhimu sana kwani wao ndio chanzo cha watoto ambao ndo utajiri wa Mungu, lakini haimaanishi kwamba kila wasemacho, wafanyacho na waamuacho ni sawa kwa sababu hua wana tabia ya kuamulia vitu watoto hao ambapo ni jambo zuri ila endapo amuzi ni sahihi.